skip to Main Content
HOT SAFARI-Kwangua Ushinde Casino!
Hot-safari

HOT SAFARI-Kwangua Ushinde Casino!

Ikiwa ni wiki ya Pasaka, ambapo watanzania wanatarajiwa kuwa na mapumziko ya siku 4, leo tunawatambulisha mchezo mwingine wa Kasino unaopatikana katika tovuti yetu ya SportPesa, unaokwenda kwa jina la Hot Safari

Huu ni mwendelezo wa SportPesa kukuelimisha mdau wetu kuhusu bidhaa na huduma zetu. Mchezo huu ni aina ya michezo ya Kasino ya kadi ama kwa jina lilozoeleka inaitwa (Scratch Cards games). 

Kwa wale wadau au wachezaji halisi wa michezo ya kasino ya mashine, wanafahamu mchezo huu ni jamii ya michezo ya kasino ya kukwangua, safari hii ukiwa ni mchezo unaotumia teknolojia ya mtandaAo. 

NINI KINAUTAMBULISHA MCHEZO HUU- HOT SAFARI 

Kama ambavyo alama inayoutambulisha mchezo huu ni picha ya Simba dume, mchezo huu unatumia zaidi alama ama picha ya Simba kama alama mama ya kukupatia michezo ya bure katika mizunguko unayocheza.  

Kwa ujumla mchezo huu wa Hot Safari una seti tano tu za mizunguko ambayo inahesabika kama michezo kamili ambayo mchezaji anaweza kucheza na kupata pesa. 

MIZUNGUKO INAANZIA MINGAPI 

Kwa kuwa mchezo huu wa Hot Safari ni wa tofauti kidogo na michezo ya kasino ya machine ki mtandao, mchezo huu unaanza na kiwango cha chini kabisa cha mizunguko, ambao ni mzunguko mmoja.  

Raundi hiyo moja ndiyo inahesabika kama mchezo mmoja kamili. Katika andiko hilo huko mbele utapata kujua kuhusu mizunguko iliyobakia.  

MFUMO WA UCHEZAJI 

Kila mchezo unapofunguka tayari kwa kuchezwa mbele ya scrini yako utaona kama scrini imezibwa na ukungu wa rangi ya njano ambayo imepauka. 

Unachotakiwa kufanya ni kukwangua rangi ile na hapo utaona alama mbali mbali zimetokea katika vibox na kuangalia kama kuna alama tatu zinazofanana ili uweze kushinda. 

Kwa kuwa mchezo huu ni wa kusaka pesa, basi alama zilizomo ni viwango vya pesa vikianzia na Tsh 50 kwa anayechagua kucheza mchezo mmoja na mzungo mmoja na pia viwango vya Tsh 2500, 5000, 50,000, na kuendelea kutegmea na dau ulilochagua kuweka. 

Mfano rahisi ni kama umekwangua na ikatoka alama ya fedha taslimu Tsh 50,000 ambayo ipo kwenye vibox vitatu tofauti, maana yake ni kwamba utakuwa umeshinda pesa hiyo. 

 Haijalishi kama alama hizo zitakuwa zimeendana pamoja au kila moja itafunguka na kuonekana kwenye kibox cha kivyake, bila kufuata mpangilio maalumu.   

 Nakurudisha nyuma pale nilipoelezea kidogo mizunguko inaanzia mingapi? Ni hivi, wakati unaanza kucheza mchezo huu, ukishaufungua mchezo tu, utakutana na machaguo ya namna gani unataka kucheza mchezo huu. 

Chaguo la kwanza na muhimu linahusiana na unataka kucheza michezo mingapi katika kila mzunguko. Chaguo hili ndio linaamua dau ambalo utakuwa unacheza kwenye kila mzunguko. 

Mathalani umechagua kucheza mchezo moja tu kwenye kila mzunguko. Kwa namna mchezo huu ulivyopangiliwa ni sahihi kusema unacheza kiwango cha chini cha malipo kwenye mchezo, hivyo utakatwa Tsh 50. 

Chaguo la pili lililopo ni michezo 5 kwenye mzunguko hapa utakatwa Tsh 250 katika kila mzunguko utakaocheza ikimaanisha una michezo mitano tu.  

Chaguo namba tatu ni la michezo 10. Katika chaguo hili mchezaji atakatwa Tsh 500 kwenye kila mzunguko mmoja mpaka pale michezo 10 itakapomalizika.  

Chaguo la nne ni la michezo 25, hapa kiasi utakachokatwa kama dau la mzunguko wako itakuwa Tshs 1,250.  

Chaguo la tano ni la michezo 50. Hapa katika kila mzubnguko utakatwa Tsh 2500. 

Hot Safari

KUHUSU MALIPO 

Kama ilivyo katika pesa utakayokatwa wakati wa kuchezwa ndivyo na viwango vya malipo vilivyo. Kwa yule atakayeanza na michezo mitano katika kila mzunguko basi na malipo yake yatakuwa madogo hivyo hivyo sawa na kile alichoweka kucheza kama dau. 

Malipo ya mizunguko mingine yatapanda kadri mchezaji anavyocheza mchezo anaoucheza 

JE MCHEZO UNA MICHEZO YA BURE 

Cha kufurahisha mchezo huu hauna michezo ya kuzunguka ya bure yaani (Free Reel Spin), bali una michezo ya bure pale mchezaji atakapokutana na picha 3 za Simba hivyo kumfanya mchezaji kuokoa sehemu ya fedha yake anayoichezea. 

KUNA KITU GANI KINGINE CHA ZIADA KATIKA MCHEZO HUU

Katika mchezo huu wa Hot Safari mchezaji ana uwezo wa kuamua na kuchagua kucheza na batani inayojizungusha yenyewe mchezo (Auto Play). Huduma hii itakupa fursa ya kuchagua kadi unazozitaka kucheza katika kila mzunguko mmoja na kisha unabonyeza kitufe cha kujizungusha chenyewe (Auto Play), kisha unasubiria matokeo. 

Kumalizia mchezo huu unapatikana katika tovuti ya SportPesa upande wa Kasino. Mchezaji atatakiwa kuangaliwa kitufe kilichoandikwa ‘’All Games’’ na kisha shuka chini ukitazama jina la mchezo huu Hot Safari. 

Ni matumaini yangu nmtaweza kuutafuta na kuujaribu kuucheza. 

 

Share this:
Back To Top