skip to Main Content
UFAHAMU MCHEZO WA AFRICAN ELEPHANT
African-Elephant

UFAHAMU MCHEZO WA AFRICAN ELEPHANT

SportPesa blog tumerudi tena. Safari hii tumakuja na mchezo mwingine wa Kasino unaokwenda kwa jina la African Elephant. Mchezo huu, kama ilivyokuwa kwa michezo mingine ambayo tumeiangazia siku za nyuma, umetengenezwa kwa kutumia mazingira ya ki Afrika kwa kutumia wanyama kama Chui, Pundamilia, Nyumbu, huku mnyama mkuu akiwa Tembo.

Kwa kifupi maudhui ya mchezo huu kuanzia mpangilio wa aina ya wanyama, yamezungukwa na nakshi za uwanda wa nyasi ndefu, nyika, miti ya Acacia, mito na sauti za mchezo wenyewe vyote vimepewa taswira ya mazingira ya mbugani.

Tukirudi kwenye mchezo wenyewe wa African Elepehant. mchezo huu unaweza kuchezwa kwenye jukwaa la Kasino, ama tovuti ya SportPesa kwa kutumia vifaa vya ki elektroniki kama vishikwambi, Kompyuta mpakato, Simu janja na kompyuta za mezani, huku dau likianzia Tshs 50.

Kwa wale ambao mmekuwa mkifuatilia makala zetu mbali mbali mtakuwa na kumbukumbu kwamba michezo karibu yote ya Kasino inaanzia na maduara matano na kuendela (5 reels and beyond), kama ambavyo mchezo huu wa African Elephant unatumia maduara matano pia (use 5  reels).

ALAMA MUHIMU ZA MCHEZO  WA AFRICAN ELEPHANT.

Mchezo huu wa African Elephant una tofauti kidogo na michezo mingine katika namna michezo ya bure (free Spin) zinavyopatikana. Kwa namna walivyoupangilia mchezo huu wa African Elephant, michezo ya bure inapatikana katika maduara matano na safu nne (five reels) and (four rows), ambazo ndani yake kuna mistari 20 ya malipo ambayo haibadiliki. (20 unchangeable lines)

Kama ilivyokuwa katika mchezo wa Extra Juicy Megaways, alama za J-A ndio zenye malipo madogo kuliko alama zote katika mchezo huu, huku alama za wanyama kama Pundamilia, Chui, Faru na Nguchiro ni alama za malipo ya juu.

Ikiwa mchezaji atafanikiwa kuzipata alama za mmoja wa wanyama hawa wakiwa kwenye mstari ndani ya maduara haya matano, basi mchezaji huyo atapata malipo kuzidisha mara nne ya dau lake (Pays 4 times the bet), kwa alama zenye malipo madogo, wakati alama za malipo makubwa zitalipa kwa kuzidisha kuanzia mara 5 mpaka mara 30 ya dau analocheza mchezaji.

Tembo ambayo ndio alama kuu anatumika kama alama inayoandamana na neno Wild hivyo ni alama ambayo inaweza kujihuisha na alama yoyote kati ya hizo zenye malipo kidogo au malipo makubwa kasoro haiwezi kuhuishwa na alama ya bonus.

Pia alama ya Tembo ambayo ndiyo Wild inaweza kutokea au ikawepo katika maduara yote matano (may be present on all 5 reels). Na Ikiwa Wild zote tano zikatokea kwa mpigo katika maduara yote matano, basi thamani ya malipo ya kila alama moja itakuwa dau lako kuzidisha mara 75.

ALAMA ZA MCHEZO WA AFRICAN ELEPHANT

SHEPU YA WILD (WILD SHAPE)

Katika kila mzunguko ambao mchezo wako utazunguka, kuna fursa ya alama ya Wild kutokea mwishoni mwa kila mzunguko, zikijipanga katika mpangilio usio maalum.

Ikitokea alama hii ya Wild itajitokeza hivyo, basi itapelekea alama zote zilizozungukwa na Wild kubadilika na zenyewe kuwa Wild, hivyo kupelekea malipo ya nyongeza ama ziada kufanyika.

MALIPO YA BURE (FREE SPIN)-AFRICAN ELEPHANT

Ikiwa umefanikiwa kupata alama kunazia 3,4 au 5 za bonus, iwe kwenye mchezo mama (base game), au kwenye michezo ya bure basi una uhakika wa alama za Wild kutokea katika kila mzunguko.

Hii inamaanisha una uhakika na malipo ya ziada katika kila mizunguko hiyo.

Kama itatokea mambo ni magumu kidogo au mchezo hautoi michezo ya bure mara kwa mara, mchezaji ana chaguo la kuamua kununua michezo ya bure.

African ElephantGharama itakayotumika ni X100 ya dau lako. Mfano unacheza dau la Tsh 50 ikitokea mambo hayaendi basi unapandisha dau lako mpaka Tsh 5000 na kuendelea kucheza.

Pale itakapotokea umepandisha dau lako unalochezea X100, tafsiri yake ni kwamba utakuwa umenunua michezo ya bure na faida yake itakuwa alama za wild zitajitokeza na kujihuisha ili uweze kupata michezo ya bure.

HITIMISHO-AFRICAN ELEPHANT

Kama kurudi/kuishi katika mazingira ya asilia ni zoezi liliofanywa kuwa rahisi, basi kampuni ya Pragmatic (watengenezaji wa mchezo huu) wamefanikiwa katika hilo.

Mchezo huu wa African Elepahant umebuniwa katika mazingira rafiki ya kimchezo ambayo yanakupa urahisi wakati wa kucheza, ukiwa na uhakika wa angalau kupata mizunguko ya bure mara kwa mara wakati ukicheza.

Ni kawaida kwa alama za Wild (Tembo) kujazana katika seti za maduara na kukupa tumaini wewe mchezaji kwamba alama hizi zikikutana na alama nyingine, basi utaweza kuambulia chochote na si pungufu chini ya hapo.

Kitu cha pekee ambacho mchezaji wa mchezo huu anaweza kujivunia ni hizi alama za Wild ambazo kwa hakika zitajitokeza katika hatua mbali mbali za mchezo huu. Hii inakupa mchezaji kujiamini wakati unaucheza kwa kuamini namna malipo yake yalivyo.

Mchezo huu umepewa kiwango cha malipo kwa kuzidish mpaka mara 15,000 ya dau unalocheza, hivyo kuufanya kuwa moja ya michezo yenye thamani kubwat ya malipo. (With a win cap of 15,000x the bet set in place)

Ni matumaini yetu mpaka hapa tulipoishia utakuwa umepata msukumo kidogo wa kuuelewa mchezo huu na pengine kukupa hamu ya kuucheza kuanzia sasa au katika siku za usoni. Ili kucheza tembelea tovuti yetu sportpesa.co.tz alafu tafuta maandishi yaliyoandikwa Kasino.

Bonyeza hayo maandishi ya Kasino kisha angalia kitufe kilichoandikwa ‘’Popular’’. Angalia safu ya pili, upande wa kulia mwishoni, utaukuta mchezo huu.

Share this:
Back To Top