MASHINE ZA KAZI YANGA OGOPA, AGOSTI 16 INAKUJA
MASHINE za kazi bado zinatarajiwa kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kwa ajili ya kuwa kwenye changamoto mpya kwa msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza Agosti 16 2024. Timu hiyo inanolewa…
‘THANK YOU’ YA JOBE GUMZO SIMBA, MO ACHACHAMAA
Hatimaye Uongozi wa Simba umethibitisha kuwa umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji raia wa Gambia, Pa Omar Jobe baada ya kipindi kifupi cha miezi sita. Jobe mwenye umri wa…
UBAYA UBWELA SIMBA, MASHINE MPYA 24/25 HIZI HAPA
UBAYA ubwela wanasema hivyo kwa sasa Wanasimba kutokana na kazi kubwa wanayofanya kuelekea msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza Agosti. Kwenye maboresho katika dirisha kubwa la usajili kuna wachezaji wapya zaidi…
MABINGWA EURO 2024 NI HISPANIA, LAMINE ANA BALAA
MABINGWA wapya wa EURO 2024 wamepatikana huku tambo zikiisha jumlajumla na Hispania wakitwaa taji hilo kwenye mchezo wa fainali iliyochezwa Uwanja wa Olympiastadion mwisho baada ya dakika 90 ubao ukasoma…
VYUMA VYA KAZI YANGA HIVI HAPA 2024/25
VYUMA vya kazi vipo ndani ya Yanga tayari kwa msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote. Kwa sasa usajili unaendelea tambo zimekuwa haziishi kuhusu wachezaji…
EURO 2024 FAINALI KINAWAKA LEO, BASHIRI NA SPORTPESA USHINDE MAMILIONI ENGLAND Vs UHISPANIA
BAADA ya michezo 50 kupigwa katika mashindano ya EURO 2024 mpaka sasa, hatimaye leo Jumapili mchezo mkubwa wa Fainali unatarajiwa kupigwa kwenye dimba la Olympiastadion. Kuelekea katika fainali hiyo ambayo…
KIMATAIFA KUMEKUCHA, WAPINZANI WA YANGA, AZAM, SIMBA, COASTAL 24/25
KIMATAIFA kumekucha baada ya wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kuwatambua wapinzani wao kwa msimu wa 2024/25 katika kusaka ushindi ndani ya uwanja baada…
UNYONGE HAUPO YANGA, SPORTPESA YAFANYA KWELI,PANGA LAPITA
UNYONGE haupo kwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga inayodhaminiwa na SportPesa kutokana na kupanga kufanya usajili mkubwa ambao utakuwa na matokeo chanya kwa mechi za kitaifa na kimataifa. Ikumbukwe…
EURO 2024, ENGLAND YAIFUATA UHISPANIA FAINALI, BASHIRI NA SPORTPESA
Timu ya Taifa ya England imefanikiwa kuandika rekodi ya kufika fainali 2 mfululizo za mashindano makubwa, baada ya usiku wa kuamkia leo Alhamisi kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1…
