MWANADADA ASHINDA 12,352,327, JACKPOT BONUS YA SPORTPESA
Ni nadra sana kusikia mwanadada au msichana amebashiri na kushinda, lakini kwa Caroline Kileo hali ni tofauti. Yeye ndio mshindi wetu halali wa Jackpot ya kati kati ya wiki ya mechi 13, akijinyakulia kitita cha Sh 12,352,327.
Jackline ni msichana wa pili kushinda mkwanja mrefu tangu mwaka 2023 ulipoanza, akitanguliwa na Asha Hemed Rajabu, mkazi wa Tandika, Dar-Es-Salaam kama Caroline aliyejishindia 4,109,805, Mwezi Januari 2023.
Akizungumza baada ya uhakiki na makabidhiano ya mfano wa hundi Caroline anasema alianza kucheza na SportPesa mwezi mmoja uliopita, baada ya kuona tangazo akiwa anaangalia Star Times TV.
Unajua mimi nilikuwa nimetulia zangu nyumbani sasa wakati nacheki TV, nakumbuka ilikuwa Star Times tangazo la SportPesa likapita mara ya kwanza. Wakati ule sikulitilia maanani, lakini nikakumbuka huwa naona washindi mbali mbali wa SportPesa wakipostiwa kwenye mitandaoni.
Kwa bahati nzuri tangazo lile lilirudia tena. Kwenye tangazo kule mwisho wanasema piga *150*87#. Sasa mimi nilikuwa na kisimu changu cha kitochi, siku hizi zimezoeleka kama viswaswadu nikajarbu kufuataisha kama walivyoandika, nikapata sms ikisema karibu sportPesa’’. Alisema Caroline
Anaendelea kusema baada ya sms hiyo yalifuata maelezo yaliyokuwa yanashuka chini kwa namba. Ambapo namba 1 ilikuwa michezo ya leo, namba 2 ni beti sasa, namba 3 ni Jackpots, namba 4 ni weka pesa, namba 5 ni akaunti yangu, namba 6 ni toa pesa, 7 matokeo ya mechi na 9 toka.
Baada ya hapo anasema aliuliza kwa watu na washkaji wakamuelekeza namna ya kucheza na kiswaswadu, akajaribu akaweza.
‘’Mimi ni mfanyabiashara wa nafaka niliamua kucheza hizi Jackpots ili nipate mtaji kwa kuwa kila nikiona taarifa kuhusu SportPesa, mara nyingi inahusiana na washindi, hasa hasa hawa wa bonus, hivyo nilivutiwa kwa kuangalia viwango ambavyo washindi waliotangulia walikuwa wanapata’’.
Anaendelea kutuhabarisha kuwa baada ya kuona mechi za wiki iliyopita aliweka mkeka wake mapema kabisa siku ya Jumatatu ya Tarehe 12 Mwezi wa Nne. Anakazia kwa kusema bado anaikumbuka siku ya Jumatano ambayo ilikuwa siku ya kwanza kwa mechi za Jackpot ya kati kati ya wiki kuanza kucheza.
‘’Katika kitu cha ajabu ambacho sijui nilipata wapi msukumo wa namna hiyo, siku naweka mkeka niliweka mikeka 7 kwa mpigo, nikijaribisha aina tofauti tofauti za kuweka mikeka. Cha kushangaza, kati ya mikeka saba, mikeka ambayo nilihisi nimetumia akili ndio iliyokufa mapema.
Mkeka huu ulioshinda, mimi nilijiwekea mechi bila kuangalia historia wala kuchambua timu au kuzifuatilia timu kusema nazijua. Nilikuwa tu naangalia nabonyeza.
Aidha wa nyumbani ashinde, au wa ugenini ashinde. Sikutumia kitu chochote ambacho ungeweza kusema kimeniongezea uelewa wa namna ya kucheza, ambacho watu wengi wanaongelea kama uzoefu.
Mimi sijui sana mambo ya mipira ila niliamua kuzifukuzia hizi hela za Jackpot, kwa kuwa naona watu wengi wanashinda na kutangazwa katika majukwaa mbali mbali ya habari.
Tulipomuuliza alijuaje matokeo, Caroline anasema alikuwa anapiga simu SportPesa huduma kwa wateja na kuulizia kuhusu matokeo ya timu ambazo alikuwa amecheza kwenye Jackpot ya kati kati ya wiki.
‘’Mimi nilikuwa zangu nyumbani sasa kila nilipohisi nataka kujua timu nilizoweka zinaendeleaje nilikuwa napiga simu naulizia. Nashukuru wahusika wa kitengo cha huduma kwa wateja walikuwa wananipa ushirikiano’’.
Anaendelea kusema kwamba kwa siku hiyo alipata mechi 7 kati ya mechi 8 ambazo zilikuwa zinacheza. Na baada ya hapo siku ya pili ambayo ilikuwa Alhamisi, alipiga simu na kuambiwa mechi zinaanza saa tano usiku na zitaisha saa saba usiku. Baada ya kuambiwa hayo alienda kulala.
‘’Ilipofika mida ya saa saba usiku nilishtuka na kucheki simu yangu na kukuta sms kutoka SportPesa ikinipa hongera. Mara ya kwanza nilifikiri nimeshinda milioni moja na kama laki mbili. Nilipofungua macho vizuri nilikuta ni Sh 12, 352,327.
Kitu cha kwanza kilichonijia akilini mwangu ni nihamishe kiasi cha pesa kutoka akunti ya SportPesa kwenda kwenye Airtel Money yangu. Jaribio hilo lilifeli na kunichanganya kidogo. Wakati nawaza nifanye nini ndipo nilipopigiwa simu na mtoa huduma kwa wateja na kuambiwa nimeshinda kweli milioni kumi na mbili na ushehe’’. Anasema Caroline.
Akimalizia Caroline anawaasa watanzania kucheza na SportPesa kwani hata yeye mwanzo alikuwa hajui chochote lakini Imani yake, baada ya kuona tangazo katika TV ya Star Times ilimshawishi ajifunze na kucheza na Mungu si Athumani ametusua.
Sijui hata nianzie wapi kuwaasa watanzania wenzangu kuhusiana na kucheza Jackpot ya SportPesa. Mimi kwa upande wangu napenda kutoa ushuhuda nimeshinda bila kuwa najua sana kuhusiana na mambo ya ubashiri.
Nia yangu ya kutaka fedha nyingi kama mtaji, ilinisukuma kujifunza na kuendelea kucheza japo kwa muda mfupi tangu nimeanza. Nawaomba na nyinyi msikae mkasikilizia au mkakatishwa na tamaa. Jaribu bahati yako kwa kucheza na majibu yatakuja kama ilivyokuwa kwangu.
Naye Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa kampuni ya SportPesa, Sabrina Msuya alimpongeza Caroline kwa ushindi wa Jackpot bonus ya kati kati ya wiki ya na kumtaka aendelee kucheza Jackpot huenda kuna siku akatimiza ndoto yake ya kuibuka na Jackpot yenyewe.
Kwanza nikupongeze kwa ushindi wako, pili nimefarijika kwa kuwa wewe ni mmoja wa kina dada ambaye ameamua kuwa jasiri na kucheza na SportPesa, hasa hasa uliposema unazipigania Jackpot zetu tena kwa mikeka saba kwa wiki.
Huu ni uthibitisho tosha wa imani yako kwa huduma na bidhaa zetu SportPesa. Niwaombe watanzania popote pale mlipo kama bado hujajisajili, basi utembelee tovuti yetu ya sportpesa.co.tz kama unatuma simu za Android na IOS au kwa lugha ya Kiswahili simu janja.
Kwa wale ambao hawajajisajili na wanatumia simu za kitochi, almaarufu kama kiswaswadu wao wanapiga *150*87#.
Jackpot yetu ya kati kati ya wiki, wiki hii imesimamia TZS 553,549,430.