Manchester United vs Chelsea ‘live’: h2h, Vikosi, Muhtasari, Amorim kufukuzwa kazi?
Presha inazidi kupanda kwa kocha mkuu wa Man United, Ruben Amorim. Hii ni kutokana na mchezo mgumu ambao unaweza kuamua hatima yake, mechi ya Manchester United vs Chelsea. Ikumbukwe ushindi…
Gaborone United Vs Simba SC: ‘Live’ CAF Champions League 2025, Botswana
Usiku wa leo Jumamosi, jiji la Francistown, Botswana linatarajiwa kuwaka moto. Hii ni kufuatia mechi kali wa Ligi ya Mabingwa Afrika ‘Caf Champions League’ ya Gaborone United vs Simba SC.…
CAF Confideration Cup mbili kutoka Tanzania kazini Septemba 20 | Vikosi vya Azam FC na Singida Black Stars
Kimataifa hakupoi ni mwendelezo wa dakika za msako wa ushindi Septemba 20 2025. Simba SC ya Tanzania ipo kwenye CAF Champion League. Klabu ya Azam FC na Singida Black Stars…
Wiliete SC 0-3 Yanga SC CAF Champions League 2025 | Magoli yote, takwimu muhimu, super sub
Wiliete SC 0-3 Yanga SC ushindi mnono kwa wawakilishi wa Tanzania wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa 11 de Novembro Septemba 19 2025. Ushindi…
12 Masks of Fire Drum Frenzy slot review: Sportpesa Tanzania
12 Masks of Fire Drum Frenzy is a thrilling online slot that combines fiery visuals with heart-pounding features. If you’re a fan of high-energy slots with multiple bonus levels and…
Yanga SC watachuana na vijana wa Angola Wiliete SC kwenye CAF Champions League 2025
Yanga SC watachuana na vijana wa Angola Wiliete SC kwenye msururu wa kwanza wa CAF Champions League 2025. Mechi hii itafanyika Septemba,19, 2025, Uwanja wa 11 de Novembro. Huu ni…
Gaborone United vs Simba SC Septemba 20 | Ligi ya Mabingwa Afrika, vikosi, H2H
Gaborone United vs Simba SC Septemba 20 mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utacheza ikiwa ni hatua ya awali. Uwanja wa Francistown utawaka moto wababe hawa wakiwa uwanjani. Tayari msafara…
Wiliete SC vs Young Africans SC CAFCL: ‘LIVE’, vikosi, H2H, Utabiri, Yanga Yatua Angola kibabe
Hatimaye pazia la mashindano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu barani Afrika linatarajiwa kufunguliwa rasmi wikiendi hii. Mashindano hayo yanahusisha Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa upande…
Goli la Pacome Zouzoua ni offside au onside? | Wachambuzi wajibizana Edo Kumwembe vs Jemedari
Goli la Pacome Zouzoua ni offside au onside? Ni swali ambalo limekuwa likiulizwa mara baada ya mchezo wa Kariakoo Dabi uliochezwa Septemba 16 2025. Yanga SC ilipata ushindi wa 1-0…
