MKULIMA WA MPUNGA ASHINDA JACKPOT BONUS YA MILIONI 10!!
MKULIMA WA MPUNGA ASHINDA JACKPOT BONUS YA MILIONI 10!! Mkazi wa Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro, Bwana Kassim Said Linzio, amekuwa ni mmoja wa washindi wa bonasi ya Jackpot ya Sportpesa wawiki hii kwa kuibuka na kitita cha shilingi Milioni Kumi…