Barcelona VS Real Madrid-El Clásico ya kombe la Mfalme.
Ukiongelea mechi kubwa katika ulimwengu wa soka huwezi kuacha mechi ya Dabi ya El Clássico. Hii ni mechi inayokutanisha miamba wawili ya soka barani Ulaya, ambapo kila mmoja kwa wakati…
Ukiongelea mechi kubwa katika ulimwengu wa soka huwezi kuacha mechi ya Dabi ya El Clássico. Hii ni mechi inayokutanisha miamba wawili ya soka barani Ulaya, ambapo kila mmoja kwa wakati…
MOTO utawaka Barani Ulaya ambako miamba ya soka baina ya Chelsea na Liverpool katika ligi ya English Premier League, almaarufu kama EPL watapambana katika mwendelezo wa mechi za ligi kuu…
Klabu ya soka ya Young Africans (Yanga), kesho wanatarajiwa kucheza mchezo wao wa mwisho wa hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Tout Puissant Mazembe. Mchezo huu…
Mkazi wa Tabata Kimanga Deus Isidory Msigwa, amebahatika kushinda kitita cha Sh 5,615,992, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi 13, kama bonus ya Jackpot ya SportPesa.…
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kesho Jumanne watashuka dimbani, katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam kuvaana na timu ya taifa ya Uganda katika mchezo wa marudiano,…
Tunajua wiki hii kuna mechi nyingi za kimataifa lakini kwa kuwa SportPesa ni mdau wa michezo, kikapu ikiwemo, leo tunakuangazia NBA PlayOffs. Hizi ni mechi za Basketball ambazo huchezwa baada…
Mwanafunzi kutoka chuko kikuu cha Dar-Es-Salaam, Majuto Safari Mwaigunga, wikiendi iliyopita amejishindia jumla ya Sh 5,766,244, kama Supa Jackpot bonus, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 15 kati ya 17,…
Timu ya taifa ya Uganda inatarajiwa kuikaribisha Taifa Stars kwenye Uwanja wa Suez Canal, Ismailia nchini Tunisia, kuwania nafasi ya kufuzu kombe la Africa. Mchezo huu wa kuwania kufuzu Fainali…
Ijumaa ya Tarehe 24, majira ya saa 4: 45 usiku, timu ya taifa ya Ufaransa itawakaribisha Uholanzi kwenye Uwanja wa The Stade De France, jijini Paris. Ufaransa watakuwa nyumbani, kama…