TP MAZEMBE KULIPA KISASI KWA YANGA!
Klabu ya soka ya Young Africans (Yanga), kesho wanatarajiwa kucheza mchezo wao wa mwisho wa hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Tout Puissant Mazembe. Mchezo huu…
Klabu ya soka ya Young Africans (Yanga), kesho wanatarajiwa kucheza mchezo wao wa mwisho wa hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Tout Puissant Mazembe. Mchezo huu…
HOROYA AC ya nchini Guinea na Vipers ya Uganda zinatarajiwa kuvaana siku ya kesho, Ijumaa, Tarehe 31, Machi 2023, katika mchezo wa mwisho wa hatua ya Makundi ya Ligi ya…
Mkazi wa Tabata Kimanga Deus Isidory Msigwa, amebahatika kushinda kitita cha Sh 5,615,992, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi 13, kama bonus ya Jackpot ya SportPesa.…
Mwanafunzi kutoka chuko kikuu cha Dar-Es-Salaam, Majuto Safari Mwaigunga, wikiendi iliyopita amejishindia jumla ya Sh 5,766,244, kama Supa Jackpot bonus, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 15 kati ya 17,…
Ijumaa ya Tarehe 24, majira ya saa 4: 45 usiku, timu ya taifa ya Ufaransa itawakaribisha Uholanzi kwenye Uwanja wa The Stade De France, jijini Paris. Ufaransa watakuwa nyumbani, kama…
Siku ya Alhamisi ya wiki hii, barani ulaya patakuwa hapatoshi , wakati timu ya taifa ya Italia itakapoikaribisha timu ya taifa ya Uingereza kwenye Uwanja wa Diego Armando Maradona katika…
MILIONI 56,383,640 ZA SUPA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA ZAENDA BAGAMOYO. Ukisikia bahati ya mtende ndio hii. Mfugaji kutoka kata ya Migude, Bagamoyo Abibu Mauridi Omari, ameshinda Sh 56,383,640, kama bonasi…
KATI YA SIMBA NA YANGA NANI KUSONGA MBELE KIMATAIFA? Ikiwa ni masaa machache kabla ya kipenga cha michezo kati ya Simba na Horoya kupulizwa, vuguvugu mtaani limekuwa ni timu gani…
Wikiendi ndio hivyo inaanza leo ambapo, viwanja mbali mbali vinategemewa kuwa na shughuli mbali mbali za kimichezo hasa hasa mpira wa miguu ambao unafuatiliwa na mamilioni ya watanzania katika pembe…