PSG vs Lyon: Ligue 1 2026/27 | H2H | Prediction | Lineup

PSG vs LyonGameGame

PSG vs Lyon: Ligue 1 2026/27 | H2H | Prediction | Lineup

  • Pambano kali linawakutanisha PSG vs Lyon, Ligue 1,26/10/2026.
  • Uwanja wa Parc des Princes wababe hawa wawili watakutana katika kutafuta pointi 3 muhimu.
  • PSG na Lyon zote zina pointi 14 tofauti kwenye idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Mchezo wa kusisimua wa Ligue 1 kati ya vigogo PSG vs Lyon umepangwa kufanyika Oktoba 26, 2026. Hii ni fursa kwa mashabiki wa soka kushuhudia pambano la kimkakati kati ya timu mbili zenye historia kubwa nchini Ufaransa saa 10:30.Mchezo huu ulitarajiwa kuchezwa Jumapili, uliahirishwa kutokana na sababu za kiusalama.

Pambano hili linatarajiwa kuwa na mvuto mkubwa kutokana na ushindani wa kihistoria kati ya timu hizi. PSG, ikiwa na lengo la kuendeleza utawala wake, itakutana na Lyon, Uwanja wa Parc des Princes. Hapa tumekuletea uchambuzi wa awali wa kile tunachoweza kutarajia.

SOMA HII PIA:Strasbourg 1-3 PSG : Ligue 1 2026/27 | Highlights | Msimamo

Vuna mapene hata kabla ya dakika 90 kuisha

Ni muda wakuvuna mapene mapema kabisa mchezo ukiwa unaendelea.Sio lazima dakika 90 kuisha. 1up, 2up, 3up inakupa chaguo lako.Suka mkeka sasa hivi na ubashiri kwa uwajibikaji kwa kubofya link hapa chini:-

Paris
PSG vs Lyon

PSG vs Lyon habari za timu na majeruhi

Kwa sasa, PSG itamkosa Marquinhos, Nuno Mendes, Ousmane Dembélé na Khvicha Kvaratskhelia kwa kuwa wanasumbuliwa na majeraha.Mchezo huu unatarajiwa kupigwa saa 10:00 usiku muda ambao kutakuwa na sherehe za Ballon d’Or.

Lyon chini ya Kocha Mkuu Paulo Fonseca’s kuna wachezaji ambao watakosekana kwenye mchezo wa leo.Mohamed Ouedraogo na Nicolas Tagliafico hawa wanasumbuliwa na maumivu ya goti.Keito Nakamura hayupo kwenye mpango kazi kikosi cha leo.

Takwimu za head-to-head na hali ya timu

Kwenye mechi 4 ambazo wamekutana hivi karibuni PSG imepata ushindi mechi 3 na Lyon ikishinda mchezo mmoja.Hizi zote ni kwenye Ligue 1.Wababe hawa wanapokutana mabao yamekuwa yakifungwa.

19/04/2026, PSG 1-2 Lyon

09/11/2025, Lyon 2-3 PSG

23/02/2025, Lyon 2-3 PSG

15/12/2024, PSG 3-1 Lyon

Utabiri na mtazamo wa wahariri

Kutokana na ubora wa vikosi na historia ya mikutano yao, mchezo huu unatarajiwa kuwa mgumu na wenye ushindani. PSG inaweza kuonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda kutokana na uzoefu wao na ubora wa wachezaji. Hata hivyo, Lyon ina uwezo wa kutoa mshangao na kupata matokeo mazuri.

Tunatarajia kuona mchezo wa wazi na nafasi nyingi za kufunga. Matokeo halisi yatategemea jinsi timu zitakavyoingia uwanjani na kutumia fursa zao. Kuwa nyumbani ni faida kwa wenyeji kutokana na takwimu kuwabeba. PSG 3-1 Lyon haya ni maoni ya mhariri na sio matokeo rasmi. Cheza na ushinde na SportPesa!

Predicted Lineup

PSG predicted lineup:

Safonov; Zaire-Emery, Zabarnyi, Beraldo, Digne; Fernandez, Vitinha, Ruiz; Akliouche, Torres, Doué.

Lyon possible predicted lineup:

Descamps; Athekame, Mata, Niakhate, Abner; Morton, Tessmann; Nuamah, Nartey, Tolisso; Sulc.

SOMA HII PIA:Paris Saint-Germain F.C – Muhtasari wa PSG, Kikosi, Ratiba, Matokeo, Takwimu, Tuzo na Habari za Hivi Punde

Hitimisho

PSG vs Lyon ni pambano ambalo linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Luis Enrique’s amekuwa na rekodi bora akipata ushindi wa mabao 4-2 kwenye Champions League vs  Manchester City.Timu hizi zote mbili zimevuna pointi 14 baada ya mechi 7.

Share this: