MUUZA MBAO MAFINGA ASHINDA SH. 15,626,306 JACKPOT BONUS YA SPORTPESA
Mfanyabiashara ya Mbao, anayetokea Mufindi wilaya ya Mafinga, Iringa Maliki Athumani Mshuza, ameshinda sh. 15,626,306 katika Jackpot Bonus ya Sportpesa iliyochezwa katikati ya wiki iliyoisha, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi 13. Akizungumza baada ya hafla…