skip to Main Content
SPORTPESA HATUPOI HATUBOI-VINGINE TENA TOKA KWETU
Multibet-bonus-

SPORTPESA HATUPOI HATUBOI-VINGINE TENA TOKA KWETU

Ikiwa ni miezi mitatu tangu kuanza kwa mwaka 2023, SportPesa imeendelea kufanya maboresho ya bidhaa na huduma zake ambapo kwa sasa multibet bonus imeongezeka asilimia kutoka 750% mpaka 1000%

Wakati huo huo katika kuonyesha tunakujali tukakuletea Cash out ambayo inakupa nafasi ya kuangalia namna ambavyo unaweza ukafaidika na kiwango cha pesa ambacho kabla mechi haijaisha ukafanya maamuzi ya kusitisha bashiri yako na kupata kiwango cha malipo kwa asilimia zitakazokuwa zinaonekana ukifungua kurasa ya historia ya kubeti katika tovuti yetu.

Akiongelea maboresho ya huduma na bidhaa mkuu wa kitengo cha mawasiliano SportPesa, Sabrina Msuya anasema mwaka huu SportPesa imeamua kuja kivingine kwa kuzingatia mahitaji ya wateja wetu na pia ushindani wa Soko.

“Kama mnavyoelewa kila mwaka tumejaribu kujitahidi na kuboresha kuanzia miundombinu yetu ya biashara, huduma na bidhaa. Kwa mwaka huu tangu umeanza tumejitahidi kuangalia changamoto na mahitaji ya soko na kujaribu kuleta bidhaa na huduma zinazokidhi haja ya wateja na soko kwa ujumla.

Moja ya vitu tulivyowaleta wateja wetu ni kuongeza ukubwa wa Multibet bonus. Kama mtakumbuka Multibet bonus yetu hapo awali ilikuwa ni asilimia 750 na sasa imepanda mpaka asilimia 1000. Hilo ni Jambo la kujivunia kwa wateja wetu kwani kwa sasa wanapata zaidi.

Cha pili ni tumetambulisha awamu ya kwanza ya huduma ya Cash Out kwa wateja wetu, ambapo mteja ambaye amebashiri na Sportpesa kwa kucheza sio chini ya timu mbili. Na ili kutimiza kigezo cha kupata fursa ya ‘’Cash Out’’ ni lazima mteja awe amecheza au acheze moja kati ya njia tatu za matokeo. Nikimaanisha wa nyumbani kushinda, au droo au wa ugenini ashinde.

Mteja ambaye atacheza kombinesheni ya aina yoyote, iwe double au tripple,pamoja na single bet hatakuwa na nafasi ya kupata fursa ya Cash Out’’. Alisema Sabrina.

Kingine cha kuongezea ni kwamba kwa wachezaji wetu wa Kasino tangu mwezi wa pilli tumewaletea promosheni inayoitwa Drop and Win. Promosheni hii ni endelevu na tayari ipo kwenye tovuti yetu  Sportpesa.co.tz au kwenye kurasa ya Kasino ambapo kuna kitufe kilichoandikwa ‘’Drop and Win’’ .

Kasino-Wateja wetu wamepewa machaguo ya michezo zaidi ya arobaini ambayo wanaweza kuchagua na kucheza. Baadhi ya michezo iliyopo ni pamoja na Spaceman, Gems of Serengeti, Wolf Gold, The Dog House, Great Rhino Megaways na mingineyo mingi.

Cha kuvutia kuhusiana na promosheni hii ni kwamba kila mwezi michezo mipya itakuwa inatambulishwa na kuwekwa kwa ajili ya wachezaji wetu kucheza. Tega sikio siku ya Jumanne wiki ijayo ambapo tutakupa update zaidi.

Share this:
Back To Top