Simba Day 2025 ni viwango vingine | John Bocco na Mkude kuagwa rasmi | Ijue ratiba na matukio muhimu
Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema Simba Day msimu huu itakuwa ya viwango. Tamasha hilo ni maalumu kwa utambulisho wa wachezaji, benchi la ufundi…
SportPesa Goal Rush washindi 17-23 Agosti 2025
Nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush, imefanikiwa kupata awshindi wapya wa wiki ya Agosti 17-23, 2025. Hii ni kupitia ubashiri wa Goal Rush wa…
CHAN 2024: Tanzania 0-1 Morocco ni kilio kwa wenyeji | Matukio muhimu, vikosi, takwimu
Tanzania 0-1 Morocco ni kilio kwa wenyeji baada ya kupoteza mchezo wa robo fainali CHAN 2024. Mchezo huo ulikuwa ni wa pili umechezwa Uwanja wa Mkapa Agosti 22 2025, saa…
CHAN 2024: Kenya vs Madagascar mshindi apatikana kwa penati 4-3 | Rekodi, vikosi, matukio muhimu
Timu ya taifa ya Madagascar imefuzu hatua ya nusu fainali CHAN 2024 kwa kuwaondoa wenyeji Kenya. Timu hiyo imeshinda kwa mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Kenya katika mchezo wa…
CHAN 2024: Tanzania vs Morocco Agosti 22 2025 mechi dume robo fainali | Matokeo, hali ya vikosi, H2H, utabiri
Tanzania vs Morocco Agosti 22 2025 mchezo dume kwa wababe wawili kusaka tiketi kutinga nusu fainali. Robo fainali ya CHAN 2024 inatarajiwa kuzikutanisha timu hizi mbili Uwanja wa Mkapa, saa…
Yanga SC yamsajili Frank Assinki kutoka Ghana kwa mkopo | Usajili Ligi Kuu ya NBC 2025/26
Uongozi wa Yanga SC muda mchache uliopita umetangaza kumtambulisha rasmi mlinzi, Frank Assinki. Nyota huyo ambaye pasi yake ya kusafiria inamtambua kuwa raia wa Ghana, amejiunga na Yanga kutokea Singida…
CHAN 2024: Sudan vs Senegal wababe gumzo | H2H, vikosi, VAR, matokeo
Sudan vs Senegal ilikuwa ni mechi dume katika kundi D CHAN 2024. Mchezo huo ulikuwa gumzo ulichezwa Agosti 19 2025, Uwanja wa Amaan Complex. Mpaka dakika 90 zinakamilika hakuna mbabe…
Yanga SC wiki ya wananchi ni Ijumaa Septemba 12
Hatimaye uongozi wa Yanga umeitangaza siku ya Ijumaa ya Septemba 12, mwaka huu kuwa siku rasmi ya kilele cha wiki ya Wananchi. Hii ni siku maalum ambayo hutumiwa kwa ajili…
SportPesa mshindi mid-week jackpot milioni 367 huyu hapa
Dar es Salaam, Kampuni inayoongoza ya michezo ya kubashiri na burudani, SportPesa imeendelea kutoa tabasamu kwa wateja wake. Hii ni baada ya Julai 28, mwaka huu kumpata rasmi mshindi wa…
