Usajili mpya Simba SC 2025/26 gumzo | Wachezaji wawili tegemeo watambulishwa | Orodha kamili
Usajili mpya Simba SC 2025/26 ni gumzo kutokana na kubeba wachezaji wawili nguzo ndani ya JKT Tanzania. Awali ilikuwa ni tetesi na mwisho zimekamilika kwa wachezaji hao tegemeo kutangazwa. Ni…
Bulgaria vs Spain 4/9/2025: Vikosi, h2h, utabiri, Habari za timu
Bulgaria na Spain kesho Alhamisi, wanatarajia kufungua mechi zao za kufuzu kuelekea Kombe la Dunia la FIFA 2026. Hii ni kwa ukanda wa UEFA katika kundi gumu E, linalowajumuisha pia…
Alexander Isak atua Liverpool: Avunja rekodi ya uhamisho Premier League, kwa £130m
Yametimia! Ndivyo unavyoweza kusema hii ni baada ya taarifa kutoka England kuthibitisha, Alexander Isak atua Liverpool kwa ada ya uhamisho inayovunja rekodi. Mshambuliaji huyo mashuhuri wa Swedeni aliyezaliwa Septemba 21,…
Jezi mpya Simba SC 2025/26 uzinduzi Agosti 31, 2025 wafana | Serikali yatoa maagizo mazito
Jezi mpya Simba SC 2025/26 zimezinduliwa kwa kishindo na mwitikio mkubwa wa mashabiki. Uzinduzi huo umeacha historia ukiwa ni tofauti na msimu wa 2024/25 walipozindulia Mikumi. Agosti 31 2025 uzinduzi…
Simba Day 2025 ni Simba SC vs Gor Mahia FC: highlight, vikosi, h2h, Ubaya Ubwela Part 2 moto utawaka!
Mambo yameiva ndani ya Simba SC, huku wakijiandaa kwa tukio kubwa la uzinduzi wa jezi zao mpya Jumapili hii. Uongozi wa Simba SC nao umeweka wazi rasmi klabu ya Gor…
CHAN 2024: Morocco yaifunga 3-2 Madagascar fainali Agosti 30 | Takwimu muhimu, H2H, tuzo, vikosi
CHAN 2024 Morocco yaifunga 3-2 Madagascar fainali Agosti 30 2025. Safari ndefu ya kumsaka bingwa mpya imefika tamati huku Morocco akiwa ni bingwa mpya anafikisha jumla ya mataji matatu ya…
Yanga SC vs Bandari FC Septemba 12: highlight, vikosi, h2h, utabiri, Kitawaka wiki ya wananchi
Uongozi wa Yanga SC wamethibitisha mechi kali ya Yanga SC vs Bandari FC Septemba 12, ndiyo burudani rasmi ya soka kwenye siku ya kilele wiki ya wananchi. Hayo yameelezwa Makamu…
SportPesa Goal Rush washindi Agosti 24-30, 2025 hawa hapa
Ushindi ni ‘bwelele’ kutoka nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush, ambapo tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya Agosti 24-30, 2025. Hii ni kupitia…
Mfungaji bora wa muda wote John Bocco na Jonas Mkude kupewa tuzo Simba Day 2025
Mfungaji bora wa muda wote John Bocco na kiungo wa kazi Jonas Mkude wanatarajiwa kupewa tuzo za heshima kilele cha Simba Day. Ni Septemba 10 2025 tamasha hilo kubwa linatarajiwa…
