Yanga SC vs Simba SC | Dabi ya Kariakoo hatihati kupigwa Fainali Muungano Cup 2026, Ratiba, matokeo, kuwagonganisha
Harufu ya dabi ya Kariakoo Yanga SC vs Simba SC, kwenye Fainali ya Muungano Cup 2026 imeanza kunukia visiwani Zanzibar. Hii ni baada ya Wananchi kuanza kwa kishindo mchezo wa…
