- Argentina kwenye FIFA Kombe la Dunia 2026, inaonyesha mabingwa hao watetezi watafungua dimba dhidi ya Algeria.
- Mwaka 2022 unabaki kuwa wa kihistoria katika historia ya soka la Argentina, hii ni baada ya timu yao ya Taifa kuibuka na ubingwa wa Kombe la Dunia.
- Argentina ni miongoni mwa mataifa ambayo yameshinda ubingwa wa dunia mara nyingi zaidi, wakifanikiwa kushinda makombe 3 katika historia yao.
- Mastaa wakubwa kama Lionel Messi na Julian Alvarez,wanaifanya Argentina kuwa timu tishio na Makala hii inakuletea ratiba yao.
Mwaka 2022 unabaki kuwa wa kihistoria katika historia ya soka la Argentina, hii ni baada ya timu yao ya Taifa kuibuka na ubinggwa wa Kombe la Dunia. Argentina kwenye FIFA kombe la Dunia 2026, inaonyesha mabingwa hao watetezi, watafungua dimba dhidi ya wawakilishi wa Afrika Algeria. Argentina ni miongoni mwa mataifa ambayo yameshinda ubingwa wa dunia mara nyingi zaidi, wakifanikiwa kushinda makombe 3. Wakiwa na mastaa wakubwa kama Lionel Messi na Julian Alvarez, Argentina wanabaki kuwa timu tishio na Makala hii inagusia mambo muhimu Argentina.
Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.
Bado hujashinda pesa? Cheza aviator ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator
Argentina wamepangwa Kundi gani?
Argentina wamepangwa Kundi J la mashindano ya Kombe la Dunia 2026. Katika Kundi hilo timu nyingine ni Algeria, Austria na Jordan. Mechi ya kwanza kwa Argentina ni dhidi ya timu ya Taifa ya Algeria.
Msimamo wa Kundi K

Kumbuka: Jedwali hili linaonyesha hali ya kundi kabla ya kuanza kwa mechi za Kombe la Dunia 2026. Nafasi halisi zikitarajiwa kubadilika baada ya kila mchezo wa hatua ya makundi.
SOMA HII PIA: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Ratiba ya Argentina ya Kombe la Dunia la FIFA 2026
Tarehe Mechi Uwanja
16 Juni 2026 Argentina vs Algeria Kansas City
22 Juni 2026 Argentina vs Austria Arlington, Texas
27 Juni 2026 Argentina vs Jordan Arlington, Texas
Hiki hapa kikosi Kamili cha Argentina cha Kombe la Dunia la FIFA 2026

Makipa
Emiliano Martínez
Gerónimo Rulli
Juan Musso
Mabeki
Cristian Romero
Lisandro Martínez
Nicolás Otamendi
Nahuel Molina
Nicolás Tagliafico
Gonzalo Montiel
Facundo Medina
Leonardo Balerdi*
Marcos Senesi
Viungo
Enzo Fernández
Rodrigo De Paul
Alexis Mac Allister
Leandro Paredes
Exequiel Palacios
Giovani Lo Celso
Nico Paz
Claudio Echeverri
Washambuliaji
Lionel Messi (Nahodha)
Julián Álvarez
Lautaro Martínez
Alejandro Garnacho
Nicolás González
Matías Soulé
Santiago Castro
Thiago Almada
SOMA HII ZAIDI: FIFA Kombe la Dunia 2026 Ratiba ya Brazil | Mechi zote | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika | Je, Neymar Jr yuko tayari?
Wachezaji wa Kuangaliwa

Mabingwa watetezi wa mashindano hayo Argentina, ni miongoni mwa vikosi imara zaidi vya mashindano hayo. Bado nahodha wa kikosi hiko, Lionel Messi anabaki kuwa hofu kuu kutokana na ubora wa muda mrefu wa staa huyo. Pamoja naye staa mwingine anayeangaliwa zaidi ni Julian Alvarez, ambaye amekuwa Habari kubwa nchini Hispania kwa sasa akiziingiza vitani; Barcelona, Real Madrid na Atletico Madrid.
SOMA HII PIA: Sheria mpya za mechi Kombe la Dunia 2026 zashtua! Nini kimebadilishwa?
Hitimisho
Argentina kwenye Kombe la Dunia la FIFA 2026 Itafunguliwa rasmi na mchezo kati ya Argentiva vs Algeria. Argentina inapewa nafasi kubwa ya kuonyesha ushindani mkubwa, ili kutetea kombe lao. Messi analiendea Kombe hili akiwa tayari ameshinda kila kitu katika dunia ya soka, lakini je, bado atakamia shoo? Tusubiri majibu.

