- Ni Qatar vs Switzerland FIFA Kombe la Dunia 2026 Juni 13, 2026 watakuwa kazini mchezo wa hatua ya makundi
- SportPesa Blog imekuletea uchambuzi kuelekea mchezo wa hatua ya makundi kwenye ufunguzi, takwimu na rekodi
- H2H walipokutana mchezo wa kirafiki, Qatar walipoteza, je mchezo unaofuata nani atashinda?
Wanakutana Qatar vs Switzerland FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo unaofuata kwenye ratiba. Hii ni kwa timu ambazo zipo kundi B zitakuwa kazini kusaka pointi 3. Saa 22:00 Uwanja wa San Francisco, California. Mchezo huu utakuwa ni wa ufunguzi kwa kundi hili linalojumisha Bosnia-Herzegovina na wenyeji Canada.
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani na SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mechi za Kombe la Dunia. Ili kushinda beti mechi kati ya Qatar vs Switzerland kwa kubonyeza picha hii chini.

SOMA HII: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Qatar vs Switzerland FIFA Kombe la Dunia 2026 utabiri unasemaje?
Hii ni raundi ya kwanza Qatar vs Switzerland FIFA Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu una uzito mkubwa. Switzerland wanaonekana kuwa bora zaidi huku Qatar wakitajwa kujiamini zaidi. Ni miongoni mwa mchezo bora kushuhudia.
Utabiri unaipa nafasi kubwa Switzerland kupata ushindi kwenye mchezo wa kundi kundi B. Hii inatokana na ubora alionao na matokeo ya mechi zilizopita. Timu hiyo kwenye mechi 5 ilipata ushindi mchezo mmoja sare 3 na ilipoteza mchezo mmoja. Mpinzani wake Qatar kwenye mechi 5 alipata sare 2 alipoteza 3. Hivyo hajawa kwenye mwendo mzuri. Licha ya utabiri huu bado Qatar sio timu yakubeza.
Kikosi kinachotarajiwa kuanza kwa Qatar inayonolewa na Julen Lopetegui

Langoni
M. I. Abdunad
Mabeki
A.A. Oui
P. Miguel
B.Khoukhi
H. Al- Amin
Viungo
J.G.Abdulsallam
A. Fathi
K.Boudiaf
Washambuliaji
E.Junior
A. Ali
A.Afif
Kikosi cha Switzerland kinachotarajiwa kuanza chini ya Kocha Mkuu, Murat Yakin
Langoni
G. Kobel
Mabeki
S. Widmer
N.Elved
M.Akanji
R. Rodriguez
Viungo
G. Xhaka
R. Freuler
J. Manzambi
M. Aebischer
D. Ndoye
Mshambuliaji
B. Embolo
Kuhusu Uwanja wa Santa Clara na mwamuzi wa mchezo
Uwanja wa Santa Clara una uwezo wa kuchukua mashabiki 68,500. Mwamuzi ni Said Martinez rekodi zinaonyesha ametoa jumla ya kadi 209 kwenye mechi 49. Katika mechi hizo kadi 5 nyekundu za moja kwa moja na 5 zilitokana na kadi za njano, wastani huu unahitaji nidhamu kwa kila mchezaji.

H2H
Rekodi zinaonyesha kuwa wababe hawa walikutana 2018 mchezo wa kirafiki. Baada ya dakika 90 matokeo yalikuwa Switzerland 0-1 Qatar.
Mechi 5 zilizopita kwa Qatar
06/06/2026 Qatar 0-0 El Salvador
28/05/2026 Ireland 1-0 Qatar
07/12/2025 Qatar 0-3 Tunisia
04/12/2025 Syria 1-1 Qatar
01/12/2025 Qatar 0-1 Palestine
D-L-L-D-L
Mechi zilizopita kwa Switzerland
06/06/2026, Switzerland 1-1 Australia
31/05/2026, Switzerland 4-1 Jordan
31/05/2026, Norway 0-0 Switzerland
27/03/2026, Switzerland 3-4 Germany
18/11/2025, Kosovo 1-1 Switzerland
D-W-D-L-D
Hitimisho
Ni Qatar vs Switzerland FIFA Kombe la Dunia 2026 watakuwa kazini hatua ya makundi. Kila mmoja anapambania kuanza vizuri mchezo wa kwanza. Burudani inatarajiwa kuwa kubwa ni fursa kwako kushinda mamilioni sasa kupitia SportPesa huku Odds zikiwa zimeboreshwa.

