Ratiba ya Sherehe za ufunguzi FIFA Kombe la Dunia 2026 |Wasanii gani wakubwa watapafomu? | Uwanja gani utakaotumika | Tarehe na Muda gani? | Shakira, Burna Boy, Madonna, Katty Perry
Usiku wa Sherehe za FIFA Kombe la Dunia 2026 umefika. Usiku huu watu wote Duniani watashuhudia kufunguliwa rasmi kwa mashindano hayo makubwa duniani. Mara ya mwisho mashindano ya Kombe la…
