Scotland vs Brazil FIFA Kombe la Dunia 2026: Prediction, h2h, match preview, odds, msimamo

ByLunyamadizo Mlyuka

June 21, 2026
Scotland vs Brazili FIFA Kombe la Dunia 2026Vin JrVin Jr
  • Pambano la mwisho Kundi C Scotland vs Brazil FIFA Kombe la Dunia 2026 litapigwa Uwanja wa Miami, Alhamisi, 25 Juni 2026 saa 7:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki (EAT).
  • Brazil wana kikosi imara chenye uwezo mkubwa wa kushambulia. Wachambuzi wengi wanatabiri ushindi wa Brazil 2-0 dhidi ya Scotland.
  • Mshindi wa mchezo atajihakishia nafasi kutinga hatua ya 32 bora, Brazil anaongoza Kundi C akiwa na pointi 4, Scotland nafasi ya 3 pointi 3.

Scotland vs Brazili FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo muhimu katika Kundi C siku ya Alhamisi ikiwa ni mechi ya mwisho ya hatua ya makundi.Wababe hawa wenye nafasi kutiga hatua ya 32 bora watakutana kwenye Uwanja wa Miami saa 7:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.Kwa upande mwingine, Scotland walilazimika kukubali kupoteza pointi baada ya kuchapwa 1-0 na Morocco, ambapo ukosefu wao wa ukali katika eneo la mwisho uliwaacha mikono mitupu licha ya kutawala umiliki wa mpira.

Ratiba ya Kombe la Dunia isome hapa: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Scotland vs Brazil, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Brazil vs Scotland
Scotland vs Brazil

Scotland vs Brazil taarifa muhimu

Scotland vs Brazili FIFA Kombe la Dunia 2026
Vinicius Jr

Wajue wachezaji wakuchungwa Panama vs Croatia: Panama vs Croatia Kombe la Dunia 2026: Prediction, h2h, match preview, odds

KipengeleMaelezo
MchezoFIFA Kombe la Dunia 2026
HatuaMechi ya tatu ya makundi
UwanjaMiami, Marekani
MudaSaa 7:00 usiku (EAT), Alhamisi 25 Juni
Jukwaa la kubashiriSportPesa

Msimamo wa Kundi C

NafasiTaifaMechiPointiMatokeo
1Brazil24Ushindi 1, Sare 1
2Morocco24Ushindi 1, Sare 1
3Scotland23Ushindi 1, Kichapo 1
4Haiti20Kichapo 2

 Habari za vikosi

  • Pigo kubwa kwa Brazil ni kumpoteza winga wa Barcelona, Raphinha, ambaye hatashiriki mechi hii baada ya kuumia msuli wa nyuma wa mguu wake wa kulia wakati wa ushindi wao wa 3-0 dhidi ya Haiti.
  • Habari njema ni kwamba Neymar Jr amepona kabisa jeraha la ndama lililomuweka nje ya mechi mbili za mwanzo, na sasa yuko tayari kuanza mashindano kwa mara ya kwanza.
  • Kocha Steve Clarke amepata habari njema baada ya kuthibitishwa kuwa beki Kieran Tierney alipata tu kukakamaa kwa misuli dhidi ya Morocco na yuko tayari kuanza mechi hii. Hata hivyo, beki wa kati Scott McKenna bado ana shaka kubwa kutokana na tatizo la misuli ya ndama ambalo halijapona kikamilifu.

Kikosi cha Scotland kinachotarajiwa kuanza

NafasiMchezaji
KipaGunn
Beki wa kuliaHickey
Beki wa katiSouttar
Beki wa katiHanley
Beki wa kushotoRobertson
KiungoFerguson
KiungoMcTominay
KiungoMcGinn
Winga wa kuliaGannon-Doak
MshambuliajiShankland
Winga wa kushotoChristie

Kikosi cha Brazil kinachotarajiwa kuanza

NafasiMchezaji
KipaAlisson
Beki wa kuliaDanilo
Beki wa katiMarquinhos
Beki wa katiGabriel
Beki wa kushotoAlex Sandro
KiungoGuimarães
KiungoCasemiro
KiungoPaquetá
Winga wa kuliaHenrique
MshambuliajiCunha
Winga wa kushotoVinícius Júnior

Vikosi hivi sio rasmi. Vikosi ambavyo vitakuwa rasmi vitatangazwa saa 1 kabla ya mchezo.

 Head-to-Head (H2H)

  • Timu hizi zimekutana mara 10 katika historia ya soka la wanaume.
  • Rekodi inaonyesha ubabe wa Brazil, wakiwa na ushindi mara 8 na sare mara 2.
  • Scotland bado hawajawahi kushinda dhidi ya Seleção.
  • Mechi ya mwisho ya ushindani kati yao ilikuwa ile ya ufunguzi wa Kombe la Dunia 1998 nchini Ufaransa, ambapo Brazil walishinda 2-1.

 Form ya sasa

  • Scotland: W–W–W–L–L
  • Brazil: D–W–D–W–W
Brazil vs Scotland
Scotland vs Brazil

Namna ya kubashiri kwenye SportPesa

Fungua ukurasa wa tukio la England vs Ghana kwenye SportPesa.
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.

Huu hapa utabiri wa Colombia vs DR Congo na uchambuzi: Prediction: Colombia vs DR Congo Kombe la Dunia 2026 | live score, h2h, lineups, odds na Habari za timu

Prediction Scotland vs Brazil

Kwa mujibu wa Opta Analyst ametoa asilimia nyingi kwa Brazil kupata ushindi. Ni asilimia 68.1 amepewa Brazil kupata ushindi. Kwa upande wa Scotland ni asilimia 12.9.

Wapi kwa kutazama (How to watch) Scotland vs Brazil Kombe la Dunia 2026

Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi ya Scotland vs Brazil kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Maswali muhimu kuhusu Scotland vs Brazil

Scotland vs Brazil inaanza saa ngapi?

Mchezo huu unaanza saa 7:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki

Scotland vs Brazil zinakutana lini?

Timu hizi zitakutana Alhamisi, Juni 25, 2026

Scotland vs Brazil inaanza zitacheza uwanja gani?

Timu hizi zitakutana Uwanja wa Miami, Marekani

Scotland vs Brazil zipo kundi gani?

Scotland na Brazil zipo kundi C Kombe la Dunia 2026 na Morocco, Haiti.

Share this: