- Colombia vs DR Congo Kombe la Dunia 2026, ni ratiba inayotarajiwa kutoa majibu ya msimamo wa Kundi K la mashindano hayo.
- Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja wa Akron, ambao sasa unafahamika kama Estadio Guadalajara 24 June 2026 saa 11 alfajiri, kwa saa za Afrika Mashariki.
- Nyota kama Yoanne Wissa na Fiston Mayele wataiongoza DR Congo mbele ya Luis Diaz na James Rodriguez wa Colombia.
- Makala hii inachambua utabiri, takwimu na taarifa zote kuhusu mchezo huu.
Baada ya kuwabana Portugal katika mchezo wao wa kwanza, DR Congo sasa wanakabiliwa na kibarua kigumu mbele ya Colombia. Ni mechi ya Colombia vs DR Congo Kombe la Dunia 2026 itakayopigwa 24 June 2026 saa 11 alfajiri, kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja wa Akron, ambao sasa unafahamika kama Estadio Guadalajara. Makala hii inachambua utabiri, takwimu na taarifa zote kuhusu mchezo huu.
Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya Colombia vs DR Congo
Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. Kwa sasa odds zimeborwesha na unaweza kubashiri sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

SportPesa pia ina huduma ya malipo ya papo hapo (instant payout), ambapo ikiwa timu uliyoichagua itaongoza kwa bao moja, mawili au matatu, unaweza kulipwa mapema kwa odds zinazovutia.
Muhtasari wa mechi ya Colombia vs DR Congo

| Kipengele | Colombia | DR Congo |
|---|---|---|
| Mashindano | Kombe la Dunia FIFA 2026 | Kombe la Dunia FIFA 2026 |
| Kundi | Kundi K | Kundi K |
| Tarehe ya Mechi | 24 Juni 2026 | 24 Juni 2026 |
| Muda wa Kuanza | Saa 11:00 alfajiri (EAT) | Saa 11:00 alfajiri (EAT) |
| Uwanja | Akron Stadium | Akron Stadium |
| Matokeo ya Mchezo wa Kwanza | Ushindi wa 3-1 dhidi ya Uzbekistan | Sare ya 1-1 dhidi ya Portugal |
| Pointi Kabla ya Mechi | 3 | 1 |
| Lengo la Mechi | Kusogea karibu na kufuzu hatua ya mtoano | Kuongeza nafasi za kufuzu hatua inayofuata |
| Nafasi ya FIFA | 13 | 46 |
| Wachezaji Muhimu | Luis Díaz, James Rodríguez, Daniel Muñoz | Yoane Wissa, Cédric Bakambu, Chancel Mbemba |
| Kocha Anayetarajiwa Kutegemewa | Mfumo uliotoa ushindi dhidi ya Uzbekistan | Mfumo uliopata sare dhidi ya Portugal |
| Hali ya Kikosi | Hakuna majeruhi makubwa yaliyoripotiwa | Hakuna majeruhi makubwa yaliyoripotiwa |
| Rekodi ya H2H | Hawajawahi kukutana na DR Congo | Hawajawahi kukutana na Colombia |
| Mwenendo wa Mechi 5 Zilizopita | Ushindi 3, Vipigo 2 | Ushindi 2, Sare 2, Kipigo 1 |
| Nguvu Kuu | Ubunifu wa safu ya ushambuliaji na uzoefu | Ulinzi imara na nidhamu ya timu |
| Changamoto | Kuepuka kudharau wapinzani | Ufanisi mdogo katika kufunga mabao |
| Odds za Kushinda | 1.58 | 6.73 |
| Odds za Sare | 4.04 | 4.04 |
| Utabiri wa Matokeo | Ushindi kwa Colombia | Ushindi kwa Colombia |
Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili wa hatua ya makundi, ndani ya Kundi K. Colombia wanaingia katika mchezo huu kama vinara wa Kundi hilo, timu hizi zinaingia kwenye mchezo huu zikiwa zimetoka kupata matokeo tofauti katika michezo yao ya kwanza. Colombia ikiwa watapata ushindi watafikisha pointi sita na kufuzu hatua ya mtoano ya 32, huku DR Congo Wakisaka pointi 3 na kuongeza matumaini ya kusonga mbele.
KUJUA RATIBA YA MECHI ZOTE 104, SOMA HII PIA: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Wapi kwa kutazama (How to watch) Colombia vs DR Congo Kombe la Dunia 2026
Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi ya Colombia vs DR Congo kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.
Habari za vikosi
Timu zote mbili zinaingia kwenye mchezo huu zikiwa hazina majeruhi. Hivyo amatarajio makubwa ni kuona wakianza na vikosi vilevile. Ikumbukwe hizi ni taarifa za awali, hivyo taarifa rasmi juu ya hali ya majeruhi kwenye vikosi zitatolewa saa chache kabla ya mchezo.
Vikosi vinavyotarajiwa
Colombia

| Nafasi | Wachezaji |
|---|---|
| Kipa | Vargas |
| Walinzi | Muñoz, D. Sánchez, Lucumí, Mojica |
| Viungo | Lerma, Ríos, Arias, James Rodríguez |
| Washambuliaji | Díaz, Córdoba |
DR Congo
| Nafasi | Wachezaji |
|---|---|
| Kipa | Mpasi |
| Walinzi | Wan-Bissaka, Mbemba (Nahodha), Tuanzebe, Masuaku |
| Viungo | Bongonda, Pickel, Moutoussamy, Elia |
| Washambuliaji | Bakambu, Wissa |
Rekodi ya Colombia vs DR Congo H2H
Huu utakuwa mchezo wa kwanza kabisa kati ya Colombia na DR Congo, kwani hawajawahi kukutana katika mashindano yoyote hapo awali. Colombia wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa wameshinda mechi zao tatu zilizopita. Vipigo vyao vya karibuni vikija dhidi ya vigogo Ufaransa na Croatia, katika mechi za kirafiki za maandalizi.
Fomu ya Colombia – Mechi 5 zilizopita:
| Tarehe za Karibuni | Matokeo | Hali |
|---|---|---|
| Uzbekistan 1-3 Colombia | Ushindi wa Colombia | Ushindi |
| Jordan 0-2 Colombia | Ushindi wa Colombia | Ushindi |
| Costa Rica 1-3 Colombia | Ushindi wa Colombia | Ushindi |
| Colombia 1-3 Ufaransa | Kipigo cha Colombia | Kipigo |
| Colombia 1-2 Croatia | Kipigo cha Colombia | Kipigo |
DR Congo wameonyesha kuwa ni timu ngumu kuifunga, licha ya kwamba wao pia hawatengenezi nafasi nyingi za kufunga mabao. Sare dhidi ya Denmark na ushindi mwembamba dhidi ya Jamaica vinaonyesha nidhamu yao ya kiulinzi. Sare yao dhidi ya Portugal, ikithibitisha uwezo wao wa kuwasumbua hata wapinzani wakubwa.
DR Congo – Mechi tano zilizopita:

| Tarehe za Karibuni | Matokeo | Hali |
|---|---|---|
| DR Congo 1-1 Portugal | Sare | Sare |
| Chile 2-1 DR Congo | Kipigo cha DR Congo | Kipigo |
| Denmark 0-0 DR Congo | Sare | Sare |
| Jamaica 0-1 DR Congo | Ushindi wa DR Congo | Ushindi |
| Bermuda 0-2 DR Congo | Ushindi wa DR Congo | Ushindi |
Utabiri wa Colombia vs DR Congo (Ushindi kwa Colombia)
Kwa kuzingatia takwimu na uchambuzi wa kitaalamu, maoni yetu ya kiuhariri tunabashiri ushindi kwa Colombia. Katika mchezo wao wa kwanza, Colombia walipata ushindi wa kuvutia wa mabao 3-1 dhidi ya Uzbekistan. Hii itawapa presha kubwa ya kuhakikisha wanashinda mechi hii, ili kufuzu moja kwa moja. DR Congo wanaonekana kuwa wapinzani wagumu, hivyo huu unatarajiwa kuwa mchezo mgumu.
Hitimisho
Utabiri wetu wa kiuhariri unaipa nafasi kubwa ya ushindi kwa Colombia, hii ni kutokana na tathmini ya ubora wa vikosi na kimbinu. Licha ya kupewa nafasi kubwa ya ushindi, lakini Colombia wanatarajiwa kukutana na upinzani mkali kwenye mchezo huu. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Colombia vs DR Congo kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.
Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune amilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator
Maswali muhimu kuhusu Colombia vs DR Congo
Colombia vs DR Congo inaanza saa ngapi?
Timu hizi zitakutana Jumatano, Juni 24, katika Uwanja wa Akron, Estadio Guadalajara ambapo mechi itaanza Saa 11:00 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki.
Nini kilitokea katika mechi ya kwanza ya Colombia kwenye Kombe la Dunia 2026?
Colombia walipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Uzbekistan katika mechi ya kwanza ya Kundi J.
Nini kilitokea katika mechi ya kwanza ya DR Congo kwenye Kombe la Dunia 2026?
DR Congo waliilazimisha sare ya bao 1-1 Portugal.
Je, Colombia na DR Congo zimewahi kukutana hapo awali?
Hapana, timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mechi yoyote hapo kabla, hivyo huu utakuwa mkutano wao wa kwanza wa kihistoria.
Colombia vs DR Congo zipo kundi gani katika Kombe la Dunia 2026?
Timu zote mbili zipo Kundi K pamoja na Portugal na Uzbekistan
KUJUA RATIBA YA MECHI INAYOFUATA YA ARGENTINA, SOMA HII: Argentina vs Austria Kombe la Dunia 2026: prediction, Live score, lineups, vikosi, h2h, live score, odds

