USA vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026 | H2H| Vikosi |SportPesa Blog

ByLunyamadizo Mlyuka

June 12, 2026
USA vs ParaguayUSAUSA
  • Wababe USA vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026 watakuwa kazini mchezo wa kwanza hatua ya makundi.
  • H2H mechi 5 walizokutana ushindi kwa USA mechi 3 na Paraguay mechi 2
  • Danny Desmond Makkelie huyu atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo huo

USA vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026 ni ratiba hatua ya makundi kwa wababe hawa wawili. Uwanja wa Los Angeles utapigwa mchezo huu ukiwa ni wa kwanza kutoka kundi D. Saa 04:00 utachezwa.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.

SOMA HII: FIFA Kombe la Dunia 2026 Ratiba ya Brazil | Mechi zote | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika | Je, Neymar Jr yuko tayari?

USA-vs-Paraguay-Insider-jpg
USA vs Paraguay

USA vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026

USA vs Paraguay
Los Angeles, uwanja utakaotumika mchezo wa USA vs Paraguay

SOMA HII: Ratiba ya Portugal FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika | Je, Ronaldo atabeba ubingwa?

Twenzetu duniani
Twenzetu Duniani, Odds za uhakika.

Ni USA vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo wa kwanza hatua ya makundi kwa timu hizi zilizo kundi D. Ushirikiano wa nchi 3 umetumika kuandaa kombe ikiwa ni USA, Mexico na Canada. Bashiri mchezo huu kupitia SportPesa upate mamilioni sasa hivi na odds ni kubwa zikiwa zimebustiwa zaidi.

H2H USA vs Paraguay

TareheMashindanoMatokeo
16/11/2025Mchezo wa kirafikiUSA 2-1 Paraguay
28/03/2018Mchezo wa kirafikiUSA 1-0 Paraguay
12/06/2016Copa AmericaUSA 1-0 Paraguay
30/03/2011Mchezo wa kirafikiUSA 0-1 Paraguay
03/07/2007Copa AmericaUSA 1-3 Paraguay

Kikosi cha USA kinachotarajiwa kuanza

Langoni

M.Freese

Mabeki

A.Freeman
T. Ream
M.Robinson

Viungo

S. Dest
T. Adama
W. McKennie
A. Robinson
M. Tillman
C.Pulisic

Mshambuliaji

F. Balogun

Kikosi cha Paraguay kinachotarajiwa kuanza

Langoni

R. Fernandez

Mabeki

J. Alonso
O. Alderete
G. Gomez
J.Caceres

Viungo

D. Gomez
A. Cubas
D.Bobadilla
M. Almiron

Washambuliaji

world
Kombe la Dunia

SOMA HII: Canada vs Bosnia Preview & Ubashiri | Kombe la Dunia 2026, 12 Juni 2026 | Utabiri, Habari za Timu na Vikosi Vinavyotarajiwa

A. Arce
A. Sanabria

Hitimisho

USA vs Paraguay FIFA Kombe la Dunia 2026 mwamuzi wa kati ni Danny Desmond Makkelie.Kwenye mechi 5 ambazo wamekutana USA ameshinda mechi 3 na Paraguay ushindi mechi 2. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa za hivi punde na ratiba.

Share this: