Panama vs Croatia Kombe la Dunia 2026Luka Modric
  • Ni Panama vs Croatia Kombe la Dunia 2026 mchezo wa Kundi L linaloongozwa na England kwenye msimamo
  • Wachezaji wakuchungwa Luka Modric, Mario Pasalic kwa upande wa Croatia na Michael Amir kwa Panama ni nyota hatari
  • SportPesa Blog imekuletea uchambuzi, takwimu na h2h kwa timu hizi mbili zinazowania tiketi kufuzu 32 bora

Mchezo wa Panama vs Croatia Kombe la Dunia 2026 ni mkali timu zote mbili zinahitaji matokeo mazuri ili kutinga 32 bora 2026. Croatia inayofundishwa na Kocha Mkuu, Zlatko Dalic, ilifika fainali 2018 na kushinda medali ya shaba 2022.Kipigo cha 4-2 dhidi ya England kimewaweka katika hali ngumu, sasa wanahitaji ushindi haraka ili kuokoa kampeni yao. Nyota Luka Modric, Mateo Kovacic na Mario Pasalic, Andrej Kramaric, Ivan Perišic ni nyota wakuchungwa, Uwanja wa Totonto, Juni 24,2026.

Ijue ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Panama na Croatia, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Panama vs Croatia
Panama vs Croatia

Taarifa muhimu

MchezoMaelezo
TareheJuni 24, 2026
MudaSaa 8:00 usiku (EAT)
UwanjaToronto Stadium
KundiKundi L
TimuPanama vs Croatia
Jukwaa la KubashiriSportPesa

Kwa upande wa Panama, ni mara ya pili kushiriki Kombe la Dunia chini ya Thomas Christiansen. Walitinga mashindano kwa kushinda kundi lao la kufuzu bila kupoteza mechi.Wameanza kwa kupoteza 1-0 Ghana kimewaacha bila bao mchezo wa kundi. Wanahitaji ushindi kurejesha matumaini kusonga hatua inayofuata.

Panama vs Croatia fomu ya timu

Panama vs Croatia Kombe la Dunia 2026
Anibal Godoy nyota wa timu ya taifa ya Panama.
TimuMechiMatokeo
PanamaGhana (Ugenini)Ilipoteza 0-1 (Kombe la Dunia)
Bosnia & Herzegovina (N)Sare 1-1 (Kirafiki)
Dominican Republic (Nyumbani)Ushindi 4-2 (Kirafiki)
Brazil (Ugenini)Ilipoteza 2-6 (Kirafiki)
South Africa (Ugenini)Ushindi 2-1 (Kirafiki)
CroatiaEngland (Ugenini)Ilipoteza 2-4 (Kombe la Dunia)
Slovenia (Nyumbani)Ushindi 2-1 (Kirafiki)
Belgium (Nyumbani)Ilipoteza 0-2 (Kirafiki)
Brazil (N)Ilipoteza 1-3 (Kirafiki)
Colombia (N)Ushindi 2-1 (Kirafiki)

Uchambuzi wa Fomu

  • Panama: Matokeo yao yamekuwa ya mchanganyiko. Kipigo cha 6-2 dhidi ya Brazil kilionyesha udhaifu mkubwa wa ulinzi, na kushindwa kufunga dhidi ya Ghana kumeweka shaka juu ya uwezo wao wa kushindana katika kiwango cha juu. Ushindi dhidi ya Dominican Republic na South Africa unawapa matumaini, lakini kiwango cha wapinzani hao ni cha chini ukilinganisha na wapinzani wa Ulaya. Wachezaji kama José Fajardo na Cecilio Waterman wanahitajika sana ili kubadili hali.
  • Croatia: Ingawa walipoteza dhidi ya England, Belgium na Brazil, walionyesha uwezo wa kufunga mabao hata katika kipigo. Ushindi dhidi ya Slovenia na Colombia unaonyesha kuwa bado wana ubora wa kushindana. Kampeni yao ya kufuzu ilikuwa ya kuvutia, wakishinda mechi 7 na kutoka sare moja, wakifunga mabao 26 na kuruhusu 4 pekee. Hii inawafanya kuwa na nafasi kubwa dhidi ya Panama.

H2H Panama vs Croatia

Hakuna rekodi ya mechi za ushindani kati ya Panama na Croatia. Hii ni mara ya kwanza wanakutana katika kiwango cha Kombe la Dunia. Croatia ina uzoefu mkubwa wa mashindano haya, huku Panama bado wakijenga historia yao.

Panama vs Croatia Prediction

Panama vs Croatia kwa mujibu wa Opta Analyst ushindi ni kwa Croatia asilimia kubwa. Jumla ya asilimia 62.7 amepewa Croatia huku Panama akipewa asilimia 14.6. Kutakuwa na magoli katika mchezo, maoni ya mhariri ni Croatia 3-1 Panama. Lakini haya ni maoni sio matokeo kamili.

Huu hapa utabiri mechi ya Norway vs Senegal usome : Norway vs Senegal Prediction: FIFA Kombe la Dunia 2026 Kundi I, lineups, h2h, muda wa mchezo

Panama vs Croatia
Panama vs Croatia

Habari za Timu

Panama Kikosi cha Panama kina Michael Amir Murillo ana uzoefu wa klabu za Ulaya kutoka Beşiktaş ni beki wa kulia, kiungo mkongwe Aníbal Godoy, ana uzoefu mkubwa wa MLS akiwa San Diego FC. Yoel Bárcenas anaongeza kasi na ubunifu katika maeneo ya pembeni. Safu ya ushambuliaji inajumuisha José Fajardo na Cecilio Waterman kama mtambo wa mabao.Ismael Díaz yuko katika kiwango kizuri cha kufunga na anaweza kuwa muhimu kuvunja ulinzi wa Croatia.

Croatia Croatia wana kipa Dominik Livaković, aliyeng’ara sana hatua za mtoano za Kombe la Dunia 2022.Luka Modric, Mateo Kovačić na Mario Pašalić unawapa Croatia ubora wa kiufundi na uzoefu mkubwa. Mbele, Andrej Kramaric ni mfungaji bora, Ivan Perisic akileta uzoefu wa Kombe la Dunia na ari ya kuongeza mafanikio kabla ya kustaafu. Hakuna taarifa za majeraha makubwa au kusimamishwa kwa wachezaji wa pande zote mbili kabla ya mchezo huu.

Vipaji Vijana vya Croatia Moja ya mambo ya kuzingatia ni uwiano kati ya wachezaji wakongwe na kizazi kipya. Vijana kama Luka Sucic, Martin Baturina na Petar Musa tayari wameonyesha uwezo. Musa na Baturina wamefunga mabao katika kampeni hii ya Kombe la Dunia. Kocha Zlatko Dalic anaweza kutumia shinikizo la mchezo huu kuunganisha uzoefu wa wakongwe na ari ya kizazi kipya kwa wakati mmoja.

Ijue ratiba ya Afrika Kusini: Ratiba ya Afrika Kusini FIFA Kombe la Dunia 2026 | Uwanja | Tarehe| Kikosi | Kundi A | SportPesa Blog

Jinsi ya kuangalia (How to watch) Panama vs Croatia

Mashabiki wanaweza kufuatilia Panama vs Croatia kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this: