Seleman Mwalimu anaondoka Simba SC 2025/26 | Yanga SC watajwa
Seleman Mwalimu anaondoka Simba SC 2025/26 mara baada ya mkataba wake kuisha. Inaripotiwa mazungumzo yanaendelea kati ya uongozi wa Simba SC na Wydad Casablanca kuhusu mchezaji huyo. Mkataba wa mchezaji…
