SportPesa waiongezea mkataba Namungo FC
SportPesa waiongezea mkataba Namungo FC KAMPUNI ya michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, imeongeza mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini timu ya Namungo ya Ruangwa, Lindi. SportPesa imeingia makubaliano hayo…
