Azam FC Unbeaten 18 NBCFeisal Salum (-)
  • Azam FC Unbeaten 18 NBC Premier League 2025/26
  • Frolent Ibenge ndiye anaifundisha timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi za nyumbani.
  • Feisal Salum ni mchezaji tegemeo kikosi cha kwanza amefunga magoli 7 na pasi 5

Azam FC Unbeaten 18 NBC Premier League 2025/26. Inaikimbizia rekodi ya Yanga SC yenye Unbeaten 19. 2013/14 ilitwaa taji la Tanzania Premier League bila kupoteza. Matokeo ya hivi punde Azam FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 3.

FUATILIA HII TAARIFA: Azam FC 2025: Mwongozo Kamili Kuhusu Kikosi, Benchi la Ufundi, na Urithi wa Klabu

Je, bado hujashinda mamilioni? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune pesa sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

Azam FC Unbeaten 18 NBC Premier League matokeo kamili

Azam FC Unbeaten 18 NBC
Mtasigwa nyota wa Azam FC. Source: Azam FC.

Azam FC Unbeaten 18 ndani ya NBC Premier League 2025/26. Vigogo wote walio nafasi ya mbili za juu wamekwama kuifunga. Azam FC 0-0 Yanga SC na Simba SC 0-2 Azam FC. Florent Ibenge ndiye kocha anayeinoa timu hiyo.

SOMA HII: Mzizima Dabi yaiachia maumivu Simba SC 2025/26 | Highlights, msimamo, h2h, ratiba mechi zijazo

image

Takwimu za Azam FC 2025/26 NBC Premier League

Azam FC Unbeaten 18 NBC
Kante vs Nado NBC Premier League 2025/26. Source: Azam FC
Tarehe         Mechi                          Matokeo
09 Apr 2026Mbeya City vs Azam FC 0-0
05 Apr 2026Azam FC vs Simba SC0-0
01 Apr 2026Singida Black Stars vs Azam FC1-2
19 Mar 2026Mashujaa FC vs Azam FC0-0
15 Mar 2026Azam FC vs Yanga SC0-0
11 Mar 2026Dodoma Jiji FC vs Azam FC0-3
05 Mar 2026Tanzania Prisons vs Azam FC0-0
02 Mar 2026Pamba Jiji FC vs Azam FC2-2
25 Feb 2026Azam FC vs Mtibwa Sugar3-0
22 Feb 2026KMC FC vs Azam FC0-2
29 Jan 2026Azam FC vs TRA United2-0
20 Jan 2026Azam FC vs Fountain Gate0-0
17 Jan 2026Azam FC vs Coastal Union3-0
07 Dec 2025Simba SC vs Azam FC0-2
03 Dec 2025Azam FC vs Singida Black Stars0-0
09 Nov 2025Namungo FC vs Azam FC1-1
01 Oct 2025JKT Tanzania vs Azam FC1-1
24 Sep 2025Azam FC vs Mbeya City2-0

Imefunga magoli 23

Azam FC Unbeaten 18 NBC
Florent Ibenge, Kocha Mkuu wa Azam FC. Source: Azam FC

Azam FC baada ya mechi 18 safu ya ushambuliaji imefunga magoli 23. Kinara wa ufungaji ni Feisal Salumu kiungo mshambuliaji mwenye magoli 7 na ametengeneza pasi 5 za magoli. Nyota huyo amehusika kwenye jumla ya magoli 12 kwa matajiri wa Dar.

SOMA HII: Ubingwa unanukia Yanga SC: Wananchi pengo la Pointi 8 kileleni, Simba SC, Azam FC hali tete!

Hitimisho

Azam FC Unbeaten 18 NBC Premier League ikiwa ni timu yenye safu kali ya ulinzi. Baada ya mechi 18 imefungwa magoli 5. Inaongoza kwa timu ambazo zimepata sare nyingi ikiwa nazo 10.

Share this: