skip to Main Content
Kubashiri Mpira Wa Kikapu
BasketballBetting-

Kubashiri mpira wa kikapu

Mpira wa kikapu ni wa pili kwa umaarufu baada ya mpira wa miguu kwa kupendwa na mashabiki wa michezo nchini Tanzania. Ni mchezo ambao wengi wetu tulicheza shuleni, na Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (FBA) lina wafuasi wa kujitolea wengi sana. Katika hali ya sasa ya michezo ulimwenguni, watu wengi zaidi ya hapo zamani hufuatilia ligi za mpira wa kikapu kuanzia hatua za mwanzo na haswa NBA, ambayo inawakilisha kilele cha mchezo huo.

Kila shabiki wa michezo anajua kuwa inaongeza raha na msisimko mara kumi kama ukiweka dau la juu ya matokeo ya mchezo. Kupitia SportPesa, tunatoa  michezo mingi na mizuri ya mpira wa kikapu kwa mteja wetu ili kubashiri.

Ubashiri kwenye mpira wa Kikapu Ushiriki katika mpira wa kikapu umekuwa wa hali ya juu kila wakati, lakini umaarufu wake umezidi kiwango hapa nchini Tanzania katika miaka michache iliyopita. Kwa hakika, hiyo inamaanisha mashabiki wengi wa michezo huja kwetu bila uzoefu mwingi katika kubashiri mpira wa kikapu. Hii inamaanisha kuwa kupitia SportPesa hauhitaji uzoefu ili kuanza kubashiri. Aina ya moja kwa moja ya kuweka dau kwenye mchezo maalum ambapo unaipa ushindi timu kulingana na pointi zilizowekwa. Tofauti ambayo mashabiki wengi ni pale wataalam wetu huweka vikwazo ili kuona uelewa wa wachezaji na kunogesha mchezo zaidi. Kwa mfano, ikiwa LA Lakers wanacheza Memphis Grizzlies, mgawanyo unaweza kuwa na alama 7.5. Ikiwa utaweka pesa yako kwa Lakers, unahitaji washinde kwa alama nane au zaidi, vinginevyo ni washabiki wa Grizzlies ambao wanapata malipo ya ushindi. Ikiwa unataka kubet wakati mechi inaendelea, inajulikana kama kubashiri moja kwa moja, hapa unaweza kuendelea kuweka dau kwenye mchezo hata baada ya kuanza. Tunasahihisha odds kwa kila hatua na mtiririko wa mchezo kadiri mechi inavyoendelea, kwa hivyo ni juu ya uwezo wako wa kusoma mchezo na kuona mabadiliko haya muhimu kwa kasi. Ikiwa unaweza kufanya haraka kabla ya odds kubadilika basi utapata ushindi kulingana na odds zilizowekwa. Chagua SportPesa kwa ubashiri wako wa mpira wa kikapu Hizi ni bet chache za mpira wa kikapu unaweza kuweka kupitia SportPesa. Tunajivunia kuhakikisha tunakuletea odds nzuri zaidi kwenye kila mchezo kwa msimu wote kupitia wataalam wetu wa michezo. Unaweza kuweka dau wakati wowote, mchana au usiku, na sera zetu za kubashiri michezo zimeboreshwa hasa kwa watumiaji wa mitandao ya simu ambao ni wengi sana kwenye tovuti yetu.  SportPesa ina njia sahihi na za haraka kwenye kulipa endapo utashinda huku ikiongozwa na huduma nzuri kwa wateja kwa saa 24 siku 7 za wiki.SportPesa ni mahali maarufu nchini Tanzania kwa kubashiri mpira wa kikapu na michezo mingine yote.

 

Share this:
Back To Top