NGOMA NZITO DAKIKA 90 ZA KAZIKAZI LIGI KUU BARA
LIGI Kuu Bara 2023/24 mzunguko wa pili ngoma ni nzito dakika 90 za kazikazi, ukizubaa unapigwa. Yanga waendeleza ubabe wao mbele ya Namungo dakika 180 wapoteza pointi sita. Simba yapiga…
LIGI Kuu Bara 2023/24 mzunguko wa pili ngoma ni nzito dakika 90 za kazikazi, ukizubaa unapigwa. Yanga waendeleza ubabe wao mbele ya Namungo dakika 180 wapoteza pointi sita. Simba yapiga…
Gari limewaka kiungo Fei Toto anaupiga mwingi uwanjani ndani ya Ligi Kuu Bara Kocha ampa neno kuendeleza ubora wake kwenye mechi zote uwanjani Afichua kilicho nyuma ya yote mwenyewe Fei…
Yanga yapiga mkwara mzito robo fainali, yatupilia mbali hofu Rekodi mpya yaandikwa huku wakiwatibulia rekodi wababe Al Alhly hatua za makundi Wachezaji wapewa majukumu makubwa kuyatimiza ndani ya uwanja kitaifa…
Timu mbili Tanzania Yanga na Simba zaandika rekodi kubwa kwenye soka la Afrika wakitinga robo fainali kibabe Mgeni rasmi Henock Inonga alifanya kazi kubwa kutimiza majukumu yake UONGOZI wa Simba…
MIKATABA ya nyota wawili kwenye timu mbili tofauti imezua utata Dau la Dube weka mbali na watoto, Bruno huru kujiunga na timu yoyote Simba walipata nao tabu kila walipokutana nao…
Kisasi kulipwa dhidi ya Jwaneng Galaxy iliyosababisha maumivu kwa mashabiki wa Simba Mashabiki waitwa kwa wingi na tiketi zimeshaanza kuuzwa HENOCK Inonga namba 29 mgeni rasmi kimataifa kuelekea mchezo wa…
Yanga wanalitaka jambo hili kubwa 2024 Waarabu wa Misri kukutana na balaa zito la mastaa wote Pacome Day yaacha gumzo kila kona YANGA wanalitaka jambo hili kubwa 2024 kwa kupata…
Mwamba Mudathir ana balaa ndani ya uwanja Mudathir balaa lake kwenye mabao ya usiku Anaingia kwenye rekodi ya mfungaji wa kwanza Yanga MWAMBA MUDATHIR NA BALAA LAKE MWAMBA Mudathir ana…
Mbeba mikoba ya Ayoub Lakred Simba ni huyu Kusaka pointi tatu ugenini mbele ya ASEC Mimosas Mbadala wake atajwa kamili kuanza langoni MBEBA mikoba ya Ayoub Lakred ndani ya kikosi…