MNYAMA KAMILI GADO DAKIKA 90 KUMKABILI AL AHLY KWA MKAPA
Simba kamili gado kuwavaa Al Ahly kimataifa Uwanja wa Mkapa Machi 29 Tiketi za mzunguko zinaendelea kuuzwa kila kona, mashabiki waombwa kujitokeza kwa wingi Kocha akabidhiwa majukumu mazito anga la…
