Orodha ya wafungaji bora NBC PremierDube Prince
  • Orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2025/26
  • Prince Dube na Fabrince Ngoy wanaongoza chati ya ufungaji magoli
  • Rekodi ya mfungaji bora mwenye magoli 26 inazidi kuwa ngumu

Orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2025/26 vita inazidi kushika kasi. Hii inatokana na kupanda kushuka kwa wafungaji ndani ya uwanja. Mechi 11 zimebaki msimu kufika mwisho na vinara wana magoli 8.

SOMA HII: Mfungaji bora 2024/25 Jean Ahoua ataivunja rekodi yake? Pacome, Prince Dube kwenye mtihani

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Challenge

Orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2025/26

Orodha ya wafungaji bora NBC Premier
Depu mshambuliaji wa Yanga SC 2025/26.

Bado vita inaendelea kwenye orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2025/26 wakitafuta tuzo ya mfungaji bora. Msimu wa 2024/25 ni Jean Ahoua wa Simba SC alifunga magoli 16. Msimu huu ni Prince Dube wa Yanga SC na Fabrince Ngoy wa Namungo wanaongoza chati wakiwa na magoli 8.

Baada ya mechi 19 kuchezwa hakuna aliyefunga hat trick ndani ya ligi. Pia rekodi ya Mohamed Hussen maarufu kwa jina la Mmachinga ya 1999 kufunga magoli 26 bado haijavunjwa. Je msimu huu kuna mshambuliaji atatoboa kweli?

SOMA HII: Yanga SC na maajabu 2025/26 | Matokeo ya hivi punde, wafungaji na msimamo NBC Premier League

SportPesa Aviator Challenge

Orodha ya wafungaji NBC Premier League

NafasiMchezajiTimuMagoli
1Prince DubeYanga SC8
2Fabrice NgoyNamungo FC8
3Feisal SalumAzam FC7
4Pacome ZouzouaYanga SC7
5Iddy SelemanAzam FC7
6Salehe KarabakaJKT Tanzania7
7Maxi Nzengeli AbbasYanga SC6
8DepuYanga SC6
9William EdgarDodoma Jiji5
10Paul PeterJKT Tanzania5

Wachezaji waliohusika kwenye magoli mengi

Orodha ya wafungaji bora NBC Premier
Feisal Salim kiungo mshambuliaji wa Azam FC.
NafasiMchezajiTimuJumla ya UshirikiMagoliAsistiMagoli ya Timu
1Feisal SalumAzam FC147726
2Pacome ZouzouaYanga SC107344
3Iddy SelemanAzam FC107326
4Prince DubeYanga SC108244
5Fabrice NgoyNamungo FC98122

Msimamo wa NBC Premier League 2025/26

 Msimamo wa NBC Premier League uliobereshwa hivi punde. Yanga SC wanaongoza ligi na pointi 47. KMC FC wanaburuza mkia wakiwa na pointi 9.

POSMPWDLPTS
Yanga SC19145047
Simba SC19126142
3. Azam FC19910037
4. Singida Black Stars1985629
5.JKT Tanzania1978429
6.TRA United1976627
7.Pamba Jiji FC1968526
8. Dodoma Jiji FC1966724
9.Mtibwa Sugar1958623
10.Namungo FC1957722
11.Mashujaa FC1949621
12. Coastal Union1947819
13.Fountain Gate19541019
14.Mbeya City19451017
15.Tanzania Prisons19351114
16. KMC FC1923149

SOMA HII: Tuzo ya ufungaji bora vita yake inazidi kuchangamka/ Kariakoo Dabi kumaliza utata Juni 25 2025

Hitimisho

Orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2025/26 kazi ni kubwa. Katika orodha ya waliohusika kwenye magoli mengi hakuna mchezaji wa Simba SC. Je mnyama atazinduka mzunguko wa pili kuongeza ushindani?

Share this: