Ni FIORENTINA dhidi ya WEST HAM-Katika Fainali ya UEFA Conference League
Kesho Jumatano ya Juni 7,2023 majira ya saa nne usiku katika dimba la Eden Arena kwenye Jiji la Prague, Czech utapigwa mtanange wa fainali ya michuano ya kombe la Uefa…
Sports news, transfer, scores, fixtures, casino and betting news
SportPesa Tanzania
Kesho Jumatano ya Juni 7,2023 majira ya saa nne usiku katika dimba la Eden Arena kwenye Jiji la Prague, Czech utapigwa mtanange wa fainali ya michuano ya kombe la Uefa…
Ikiwa tunaelekea kumaliza msimu ambapo ligi za soka nyingi zinafikia tamati, SportPesa tumekuletea new experience ya kwenye Kasino ya mtandao kwa kutambulisha bidhaa zinazoendana na wapenda mpira. Kwetu sisi SportPesa…
Leo usiku kuanzia majira ya Saa 3, kwenye dimba la Puskas Arena Jijini Budapest nchini Romania, itapigwa fainali ya michuano ya Europa ikizikutanisha Sevilla ya Hispania na AS Roma ya…
Patashika ya kuusaka Ubingwa wa Ligi Kuu ya Uturuki itaendelea Jumanne hii ya Mei 30,2023 kwa mechi kati ya timu ya Ankaragucu watakapowakaribisha timu ya Galatasaray. Vita kubwa kwa sasa…
Usiku wa leo katika dimba la Old Trafford patapigwa mechi kali kati ya wenyeji Manchester United watakaowakaribisha timu ya Chelsea kutoka Magharibi mwa jiji la London. Hii ni mechi ambayo…
Unaweza ukasema bahati haina mwenyewe. Hivi ndivyo msemo wa Kiswahili ulivyotimia kwa mmoja wa washindi wetu wa Jackpot bonus ya kati kati ya wiki Maria kalosi Gwimile. Mwanamke huyu ameshinda…
Patashika ya Ligi Kuu ya England inaendelea leo hii, ikiwa inajulikana zaidi kama mechi za ligi ya EPL za lala salama, kwa mchezo mkali unaobeba maamuzi mazito ya timu mbili…
Timu ya mpira wa miguu ya Al Ahly Cairo, leo wanashuka uwanjani kupambana na Esperance ya Tunsia katika mechi ya marudiano ya kombe la klabu bingwa Afrika, baada ya mechi…
Klabu ya Manchester City leo usiku itashuka katika dimba la Etihad kupambana na timu ya Real Madrid, katika mchezo wa pili wa wa michuano ya Kombe la Klabu bingwa barani…