CHAN 2024: Tanzania 2-1 Madagascar Mzize afunga magoli mawili/ Robo fainali imejibu, rekodi, magoli
Tanzania 2-1 Madagascar rekodi mpya imeandikwa kwa Tanzania kutinga hatua ya robo fainali CHAN 2024. Mabao yote mawili kwa Tanzania yamefungwa na mshambuliaji Clement Mzize. Wenyeji Tanzania kwenye Michuano ya…
Ratiba ya Caf Champions League 2025/26: Elewa kiundani droo zilizofanyika kwenye hii michuano mikali
Historia imeandikwa leo Agosti 9, 2025 jijini Dar es Salaam. Hii ni baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF), kufanya tukio muhimu la droo ya hatua ya awali. Droo hiyo…
CHAN 2024: Tanzania kuikabili Madagascar leo Agosti 9 2025/ Matokeo, vikosi, utabiri
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Agosti 9 2025 inakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya timu ya taifa ya Madagascar. Huu ni mchezo wa Michuano ya Kombe…
Elie Mpanzu Kibisawala ni Simba SC 2025/26/ Rekodi na magoli / Dili lake Yanga SC
Elie Mpanzu Kibisawala ni Simba SC 2025/26 akizima zile tetesi za kupigiwa hesabu na Yanga SC. Elie anacheza nafasi zaidi ya mbili uwanjani winga na mshambuliaji na mguu wake wenye…
Yanga SC kuitikisa Rwanda Pre-Season kuvaana na Rayon
Kikosi cha Yanga wikiendi hii au mwanzoni mwa wiki ijayo kinatarajiwa kuondoka nchini na kuelekea Rwanda. Timu hiyo inaenda Rwanda kwa mwaliko maalum kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa…
Yamal na Dembele watikisa listi mastaa 30 Tuzo ya Ballon d’Or 2025
Agosti 7, 2025 ilikuwa siku ya kihistoria kwa soka duniani. Hii ni baada ya listi ya mastaa 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora duniani Ballon d’Or kwa mwaka 2025 kutangazwa…
Tanzania vs Madagascar Agosti 9 2025 CHAN 2024/ Rekodi, matokeo/ Uwanja wa Mkapa
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Agosti 9 2025 inatarajiwa kucheza mchezo wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024). Utakuwa ni mchezo…
Jonathan Sowah atoa ahadi nzito Simba SC / Magoli aliyofunga / Kambi Misri kinachoendelea
Jonathan Sowah mshambuliaji mpya wa Simba SC amesema mashabiki watafurahi. Ahadi hiyo ni maalumu kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Simba SC imeweka kambi nchini Misri.…
Mauritania 0-1 Tanzania CHAN 2024 Kapombe shujaa/ Magoli, takwimu/ Robo fainali yanukia
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inanukia kufuzu hatua ya robo fainali ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024). Agosti 6 2025…
