Pacôme Zouzoua: Player profile, career, stats, market value, matches and latest news
From the streets of the Ivory Coast to playing for the Tanzanian giants, Yanga SC, Pacôme Zouzoua has caught the attention of the East African football scene. His football intelligence…
Simba SC yamtambulisha mrithi wa Zimbwe Jr 2025/26 Naby Camara/ Orodha ya wachezaji wapya hii hapa
Simba SC hawajamaliza usajili baada ya kumtambulisha nyota mwingine mpya. Ni Naby Camara ametambulishwa rasmi kuwa nyekundu na nyeupe Agosti 14 2025. Nyota huyo aliwahi kucheza Klabu ya Al Waab…
Mshindi mkubwa wa Aviator SportPesa Tanzania: Alifanikiwa kushinda TZS 40,000,000 kwa Dau la TZS 500!
Mshindi mkubwa wa Aviator alipaaisha kindege na kufanikiwa kushinda TZS 40,000,000 kutoka dau dogo tu la TZS 500 hapa SportPesa casino! Katika roundi hii, kindege kilipaa hadi kufikia multiplier ya…
Simba SC inasukwa timu imara kuelekea 2025/26 | Wachezaji wapya wameanza kufunga magoli
Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amesema inasukwa timu imara kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Timu ya Simba SC ipo kambini nchini Misri ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya.…
Rasmi Feisal akubali kusaini mkataba wa kufuru
Kwenye soko la uisajili kuna tetesi nyingi zinaendelea, lakini kubwa ya yote ni kuhusu wapi Feisal atacheza msimu ujao. Hii ni baada ya timu vigogo za Simba SC, Yanga SC…
SportPesa yaipa Yanga SC Bilioni 21.7 kupitia Ofa kubwa ya kihistoria
Huku wakiendelea kutambia mafanikio makubwa ya msimu uliopita wa 2024/25. Uongozi wa Yanga SC umezidi kuneemeka, hii ni baada ya kufanikiwa kusaini mkataba mpya na uongozi wa Kampuni ya SportPesa…
Mechi ya kirafiki: Simba SC 2-0 Kahraba Ismailia| Jonathan Sowah na Bajaber wafunga magoli
Kambi ya Simba SC nchini Misri imezidi kupamba moto. Agosti 11 2025 ilicheza mchezo wa kirafiki na kupata ushindi. Kwenye mchezo huo ilikuwa Simba 2-0 Kahraba Ismailia. Ushindi unakusubiri ukicheza…
Uganda imeishinda Niger 2-0 kwenye mchuano wa kundi C | Takwimu, magoli na rekodi | Chan 2024
Uganda imeshinda 2-0 dhidi ya Niger kwenye mchuano wa Kombe la Mataifa ya Afrika Kundi C. Mchezo huo ulichezwa Agosti 11 2025. Pointi tatu muhimu ziliwapandisha kuwa wakwanza kwenye kundi…
CHAN 2024: Kenya 1-0 Morocco, mpira na matokeo ya ajabu/ Robo fainali imetiki / Magoli, msimamo
Kenya 1-0 Morocco ni matokeo yakushangaza yakimaanisha mpira una matokeo yasiyotarajiwa. Ni kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024). Agosti 10 2025 pointi…
