Gaborone United vs Yanga SC CAFGaborone vs Yanga SC
  • Karata ya kimataifa inarushwa leo Gaborone United vs Yanga SC hatua ya awali kwenye CAF Champions League, nchini Botswana.
  • Wenyeji Gaborone United wamepoteza mchezo mmoja katika mechi 5 zilizopita wanakutana na Yanga SC ambayo imeshinda mechi zake zote 5 zilizopita.
  • Una nafasi kufuatilia mchezo huu kupata matukio, matokeo, lineups kupitia Livescore.

Leo ni leo Gaborone United vs Yanga SC CAF Champions League mtanange mkali utapigwa Botswana National Stadium.Wachezaji wawili kutoka Yanga SC hawapo kwenye mpango wa benchi la ufundi kutokana na kutokuwa fiti. Clement Mzize na Dickson Job hawa wapo Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua naye atakuwa nje ya uwanja akiendelea kupambania hali yake. Licha ya hawa kukosekana wapo wengine kwenye msafara Djigui Diarra, Bakari Nondo, Mudathir Yahya wapo tayari kwa kazi.

Gaborone United vs Yanga SC CAF
Zimbwe Jr beki wa Yanga SC, Botswana kwenye maandalizi kuikaabili Gaborone United.

Predicted Lineups Gaborone United vs Yanga SC:Gaborone United vs Yanga SC Live Score, H2H & Predicted Lineups, Latest News- CAF Champions League 2026/27

SportPesa inakupa Odds nzuri Gaborone United vs Yanga SC CAF

Ni muda wakushinda mamilioni sasa hivi ukisuka mkeka wako. Usiogope unanafasi kubwa kushinda mkwanja ukicheza na SportPesa. Bashiri kwa uwajibakiji, bofya link hii hapa chini.

Gaborone
Gaborone United vs Yanga SC CAF Champions League

Safari ya Yanga SC na Simba SC kimataifa: Safari ya Yanga SC na Simba SC CAF Champions League 2026/27: Ratiba, Timu na Matarajio ya Klabu za Tanzania

Taarifa ya wachezaji watakaokosekana Gaborone United vs Yanga SC

Orodha ya wachezaji wa Yanga SC

Kwa mujibu wa Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC amesema kuna wachezaji ambao watakosekana. Dickson Job huyu ni beki wa kati na nahodha msaidizi. Clement Mzize huyu ni mshambuliaji wa kati. Hawa wapo nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi.

“Clement Mzize, Dickson Job hawa ni miongoni mwa wachezaji 30 ambao walisafiri kutoka Dar mpaka Afrika Kusini. Hawapo kwenye mpango wa mchezo dhidi ya Gaborone United. Sababu kubwa bado wapo kwenye uangalizi maalumu na watakuwa Afrika Kusini kwa ajili ya uangalizi zaidi kabla ya kurejea uwanjani,”

Gaborone United wachezaji watakaokosekana

Sean Connor Kocha Mkuu wa Gaborone anatarajia kuikosa huduma ya Mothusi Johnson ambaye ni beki. Benson Mangolo atachukua nafasi yake. Timu hiyo itakuwa nyumbani kwenye mchezo wa kwanza na ule wa pili watakuwa na kazi Dar, Uwanja wa Azam Complex.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara Gaborone United vs Yanga SC

Gaborone United vs Yanga SC ni mashindano gani?

Gaborone United vs Yanga SC ni CAF Champions League.

Gaborone United vs Yanga SC utachezwa saa ngapi?

Mchezo huu utachezwa saa 2:00 usiku.

Gaborone United vs Yanga SC utachezwa lini?

Mchezo huu utachezwa Jumamosi, Septemba 6, 2026

Hitimisho

Wanakutana leo Gaborone United vs Yanga SC CAF ikiwa ni hatua ya awali. Mshindi atakayesonga mbele ni yule atakayepatikana mchezo wa pili utakaochezwa Dar. Matokeo ya mchezo wa kwanza huongeza hali ya kujiamini kuelekea kwenye mchezo wa mwisho, hatua hii ya mtoano.

Share this: