Italy Serie A Table 2025/26
Serie A table 2025/26 showing the intense title race involving the likes of AC Milan, Roma, Napoli and Inter, as Fiorentina, Verona and Genoa try to avoid relegation in Italy’s…
Pacome Zouzoua kutwaa tuzo ya mchezaji bora NBC Premier League 2024/25? Zijue rekodi zake, timu alizozifunga
Pacome Zouzoua kutwaa tuzo ya mchezaji bora NBC Premier League 2024/25. Ni jambo ambalo linasubiri majibu huku mshindani wake mkubwa akitajwa kuwa ni Jean Ahoua wa Simba SC. Wanaotajwa kuwania…
Morice Abraham Simba SC midfielder-profile, career, stats and rating
Morice Abraham kiungo mshambuliaji Simba SC, kipaji chake kinazidi kuwa bora kila anapopata nafasi yakuwakilisha timu anayochezea. Morice mchezaji mwepesi na mwenye bashasha katika uwanja, ni ingizo jipya katika Ligi…
Clement Mzize nini kimemkuta Yanga SC? Mabosi wafunguka ukweli wote
Hivi karibuni uongozi wa Klabu ya Yanga SC ulitangaza kuwa mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Clement Mzize anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi miwili hadi na nusu.…
Yanga SC 4-1 KMC FC NBC Premier League 2025/26/ Highligts, magoli, msimamo
Yanga SC 4-1 KMC FC NBC Premier League ni matokeo rasmi ya mchezo uliochezwa Jumapili, Novemba 9,2025. Ushindi huo unawapeleka kileleni mabingwa watetezi wakiwashusha watani zao wa jadi Simba SC.…
JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC Premier League 2025/26/ Highlights, goal
JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC Premier League 2025/26 matokeo rasmi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Meja Jeneral Isamuyo Novemba 8,2025. Wenyeji JKT Tanzania walitangulia kupata goli dakika ya 60…
Yanga SC vs KMC NBC Premier League Novemba 9,2025/ Live score, H2H, lineups
Yanga SC vs KMC ni mchezo utakaochezwa Jumapili, Novemba 9,2025, Uwanja wa KMC Complex. Wababe hawa tangu 2018 wamekutana mara 14. Yanga SC imeshinda mechi 11 huku KMC ikipata ushindi…
Tottenham vs Manchester United EPL 08/11/2025: Vita ya ‘Top Four’, Live Score, h2h, vikosi, Utabiri
Vigogo was soka England watakabiliana kwenye pambano kali la Tottenham vs Manchester United. Hii inatajwa kuwa vita ya kusaka nne bora, kwenye msimamo wa ligi hiyo inayozidi kupamba moto. Mechi…
Simba SC vs JKT Tanzania Novemba 8,2025 NBC Premier League/ Live score, H2H, lineups
Simba SC vs JKT Tanzania ni ratiba ya mchezo ujao kwenye NBC Premier League. Saa 1:00 usiku itachezwa kwenye Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo. Mara ya mwisho wababe hawa walipokutana…
