Je Atalanta Kumng’ang’ania Roma na kupanda Serie A?
Leo, Tarehe 24 Aprili 2023, katika dimba la Gewiss, maarufu kama Bergamo, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka, kati ya wenyeji Atalanta, ambao watakipiga dhidi ya AS Roma, ikiwa…
Leo, Tarehe 24 Aprili 2023, katika dimba la Gewiss, maarufu kama Bergamo, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka, kati ya wenyeji Atalanta, ambao watakipiga dhidi ya AS Roma, ikiwa…
Leo tunawaletea mchezo wa Extra Juicy Megaways. Huu ni mchezo wa kasino jamii ya mashine (slot games), unaochezwa kwa mfumo wa kimtandoa (online gaming), unaopatikana kupitia tovuti yetu ya sportpesa.co.tz.…
Patashika nguo kuchanika ya michezo ya robo fainali, michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, itaunguruma hapo kesho, ambapo wawakilishi wa Tanzania Klabu ya Yanga itakuwa na kibarua kizito katika…
Ligi Kuu Tanzania inaelekea ukingoni ambapo baadhi ya timu zimesalia na michezo minne na nyingine mitano na hadi sasa bado hakuna iliyothibitika kusalia au kushuka daraja kulingana na mahesabu ya…
Jumamosi hii kwenye dimba la Etihad majira ya saa 1.30 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya England Manchester City watakuwa kibaruani kuwakabili Mabingwa wa…
Unaweza kusema Peter James Maduhu ni mmoja wa watanzania wenye bahati ya mtende. Akiwa anajiandaa na msimu wa sikukuu Peter alimua kucheza Jackpot ya kati kati ya wiki ya SportPesa…
Kama wewe ni shabiki wa mpira, ama mpenzi wa mechi za ligi kuu ya Uingereza, EPL, basi utakuwa unajua nini kinaenda kutokea kesho pale katika uwanja wa Anfield. Timu ya…
Ikiwa ni wiki ya Pasaka, ambapo watanzania wanatarajiwa kuwa na mapumziko ya siku 4, leo tunawatambulisha mchezo mwingine wa Kasino unaopatikana katika tovuti yetu ya SportPesa, unaokwenda kwa jina la…
Klabu ya soka ya Young Africans (Yanga), kesho wanatarajiwa kucheza mchezo wao wa mwisho wa hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Tout Puissant Mazembe. Mchezo huu…