Nani kati ya LEICESTER CITY na EVERTON kujikwamua kushuka daraja EPL?
Majira ya saa 4 usiku kwa saa za Afrika Mashariki kwenye’’ Monday Night Football’’ itashuhudiwa kipute cha kukata na shoka huko King Power Stadium ambapo Leicester City watakuwa wenyeji wa…
