YANGA VS MARUMO- Muda Wa Yanga Kungára Africa.
Patashika nguo kuchanika ya kipute cha nusu fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kinashika kasi ambapo kesho Jumatano kuanzia majira ya Saa 10 Jioni, Klabu ya Wananchi Yanga (Tanzania),…
Patashika nguo kuchanika ya kipute cha nusu fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kinashika kasi ambapo kesho Jumatano kuanzia majira ya Saa 10 Jioni, Klabu ya Wananchi Yanga (Tanzania),…
Kesho katika dimba la St. James Park, Newcastle United watakuwa wanawaalika washika mitutu wa London, klabu ya Arsenal ambao ndio vinara wa Ligi kuu ya England EPL. Newcastle wapo katika…
Timu ya Brighton Hove Albion leo usiku inashuka dimbani katika mwendelezo wa mechi za ligi kuu ya Uingereza, almaarufu kama EPL. Licha ya kufanya vizuri ndani ya msimu huu imeendelea…
Kampuni ya ubashiri na burudani SportPesa, imeendeleza jadi yake ya kuwawezesha watanzania kupitia bidhaa yake ya Jackpot ya kati kati ya wiki na Jackpot ya mwisho wa wiki yaani Supa…
Huenda timu ya Wananchi Yanga, siku ya kesho ikaandika rekodi ya kufuzu hatua ya nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, iwapo itakamilisha kazi waliyoianza wiki iliyopita…
Patashika ya Ligi Kuu ya England itaendelea kwa mchezo kati ya Tottenham Hotspurs dhidi ya Manchester United utakaopigwa kwenye dimba la Tottenham mnamo April 27,2023. Mchezo huu ni vita ya…
Heka heka za Ligi Kuu ya England zinaendelea kurindima siku ya kesho. Stori kubwa zaidi ni mchezo baina ya klabu mabingwa watarajiwa ambao ni kati ya Manchester City na Arsenal…
Siku ya kesho katika dimba la Benjamin Mkapa, Jijini Dar es salaam, kuanzia majira ya saa 10 kamili Jioni, kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mchezo wenye hadhi kubwa, wa…
Ni nadra sana kusikia mwanadada au msichana amebashiri na kushinda, lakini kwa Caroline Kileo hali ni tofauti. Yeye ndio mshindi wetu halali wa Jackpot ya kati kati ya wiki ya…