VfB Stuttgart 2-3 Monchengladbach Bundesliga 2026/27 | Highlights | SportPesa Blog

VfB Stuttgart 2-3 MonchengladbachShutoShuto

VfB Stuttgart 2-3 Monchengladbach Bundesliga 2026/27 | Highlights | SportPesa Blog

VfB Stuttgart 2-3 Monchengladbach
Ermedin
  • FT:VfB Stuttgart 2-3 Monchengladbach ni matokeo ya mchezo wa Bundesliga 2026/27.
  • Pambano hili kali lilipigwa MHPArena, Stuttgart,Oktoba 23,2026.
  • Ermedin Demirovic alifunga mabao mawili kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.
Ni VfB Stuttgart 2-3 Monchengladbach ni matokeo ya mchezo wa Bundesliga 2026/27 uliopigwa Oktoba 23,2026.Mabao matano yalifungwa na wafungaji ni Ermedin Demirovic dakika ya 5 na 83 kwa wenyeji. Wageni walifunga kupitia Joe Scally dakika ya 38, Shuto Machino dakika ya 51 na Wael Mohya dakika ya 66.Pambano hili kali lilipigwa MHPArena, Stuttgart. SOMA HII PIA:Bayern Munich 6-1 RB Leipzig: Luis Diaz afunga hat trick Bundesliga 2026/27 Shinda milioni 800 sasa, cheza kindege ‘aviator’ ya SportPesa gusa hapo chini Kuna mamilioni yanakusubiri sasa hivi kwa kupaisha kindege.Huku kuna fedha nyingi kuliko kule hatukuongopii ni kweli kabisa.Bofya link hapa chini rubani uvune mkwanja wako:- image

VfB Stuttgart 2-3 Monchengladbach taarifa

Kipengele Maelezo
Mashindano Bundesliga 2026/27
Matokeo VfB Stuttgart 2-3 Monchengladbach
Uwanja MHPArena, Stuttgart.
Tarehe 23/10/2026
Timu mwenyeji VfB Stuttgart

Takwimu za mchezo

Kipengele VfB Stuttgart Monchengladbach
Mabao 2 3
Mashuti 13 13
Umiliki 66%  34%
Pasi 674 205
Kadi ya njano 2 4
Kadi nyekundu 0 0
Kona 6 5
Monchengladbach walitumia mbinu ya kujilinda zaidi wakiwa ugenini wakiwaacha wenyeji kutawala.Pointi 3 walizipata katika pambano gumu ugenini.Kona zilipigwa 6-5.

Hitimisho

VfB Stuttgart 2-3 Monchengladbach pambano kali lililopigwa wikiendi.Shuto Machine alikuwa kwenye ubora katika eneo la ushambuliaji.Wababe hawa wanatarajiwa kukutana kwenye mchezo wa mzunguko wa pili Machi 3,2027.
Share this: