Azam FC yaishusha Yanga SC nafasi ya pili NBC Premier League 2026/27 | SportPesa Blog

Azam FC yaishusha Yanga SC nafasi ya piliFei na Nado (-)Fei na Nado (-)
  • Hatimaye Azam FC yaishusha Yanga SC nafasi ya pili NBC Premier League Oktoba 31,2026
  • Ushindi wa mabao 2-1 waliopata dhidi ya JKT Tanzania unawafanya matajiri wa Dar kufikisha jumla ya pointi 23.
  • Yanga SC nafasi ya 3 kwenye msimamo ina pointi 22 baada ya mechi 9, Azam FC imecheza mechi 10 vinara ni Simba SC wenye pointi 27.

Azam FC yaishusha Yanga SC nafasi ya pili NBC Premier League kwenye msimamo.Hii ni baada ya ushindi wa mabao 2-1 waliopata dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi uliochezwa Oktoba 31.Mabingwa watetezi wanamchezo mmoja mkononi kuwafikia watoto wa Azam Complex.

SOMA HII PIA:JKT Tanzania 1-2 Azam FC NBC Premier League 2026/27 | Highlights | SportPesa Blog

Shinda na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Ni zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

image

Oktoba 31,2026 Azam FC yaishusha Yanga SC nafasi ya pili

Watoto wa Jangwani walikuwa wamejanga utawala kwenye nafasi hiyo mpaka Oktoba 31,2026 waliposhushwa na Azam FC.Moja kwa moja Yanga SC inakwenda nafasi ya 3 ikiwa na mechi 9 na pointi zake 23.Mchezo ujao Novemba Mosi 2026, Yanga SC vs Kagera Sugar umeshikilia hatma ya nafasi ya Azam FC kusalia hapo ama kushushwa.

Msimamo Top 4 NBC Premier League

TimuMechiUshindiSarePointi
1. Simba SC99027
2. Azam FC107223
3. Yanga SC97122
4.JKT Tanzania115217

Chini ya Kocha Mkuu, Florent Ibenge matajiri wa Dar wanapambania kupeperusha bendera ya Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika.Ligi ya NBC hutoa timu 4 kimataifa.Bingwa na ile timu inayomaliza nafasi ya pili inakata tiketi kushiriki Ligi ya Mabingwa na zinazomaliza nafasi ya 3 na 4 hupeperusha bendera katika Kombe la Shirikisho Afrika.

SOMA HII PIA:Coastal Union 0-0 Dodoma Jiji FC NBC Premier League 2026/27 | SportPesa Blog

Hitimisho

Azam FC yaishusha Yanga SC nafasi ya pili kutoana na ushindani uliopo ndani ya ligi.Simba SC alikaa kileleni kwa kuishusha Yanga SC inayopeperusha bendera katika Ligi ya Mabingwa Afrika.Ushindani unazidi kuwa mkubwa katika ligi 2026/27.

Share this: