- JKT Tanzania 1-2 Azam FC NBC Premier League 2026/27 Oktoba 31,2026.
- Karim Mfaume alianza kufunga katika mchezo kwa JKT Tanzania dakika ya 11 likasawazishwa na Iddy Nado dakika ya 27.
- Mfungaji wa bao la ushindi ni Lusajo Mwaikenda dakika ya 57 kipindi cha pili likadumu mpaka mwisho wa mchezo.
Dakika 90 zimekamilika matokeo ni JKT Tanzania 1-2 Azam FC NBC Premier League 2026/27.Ni Karim Mfaume alianza kufunga dakika ya 11 Idd Nado aliweka usawa dakika ya 27 huku bao la ushindi likifungwa na Lusajo Mwaikenda dakika ya 58.Wenyeji wameacha pointi 3 zikiondoka licha ya kuanza kupata bao katika kipindi cha kwanza.
SOMA HII PIA:HT:JKT Tanzania 1-1 Azam FC NBC Premier League 2026/27 | SportPesa Blog
Shinda na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi
Ni zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

JKT Tanzania 1-2 Azam FC taarifa
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | NBC Premier League |
| Matokeo | JKT Tanzania 1-2 Azam FC |
| Uwanja | Meja Gen.Isahmuhyo |
| Tarehe | 31/10/2026 |
| Timu mwenyeji | JKT Tanzania |
Takwimu za mchezo JKT Tanzania 1-2 Azam FC
| Kipengele | JKT Tanzania | Azam FC |
| Mabao | 1 | 2 |
| Mashuti | 9 | 12 |
| Umiliki | 52% | 48% |
| Pasi | 369 | 331 |
| Kona | 3 | 5 |
JKT Tanzania mbinu ziliwagomea kipindi cha pili baada ya Azam FC kupindua meza katika mchezo uliokuwa na ushindani.Bao la ushindi limefungwa kipindi cha pili dakika ya 57.Matajiri wa Dar waliongeza nguvu katika ushambuliaji na walipiga jumla ya kona 5 kwa mujibu wa takwimu za Sokametrics.
SOMA HII:Coastal Union 0-0 Dodoma Jiji FC NBC Premier League 2026/27 | SportPesa Blog
Hitimisho
Wachezaji walikuwa kwenye ubora katika matokeo ya JKT Tanzania 1-2 Azam FC.Iddy Nado alikuwa mhimili kwenye eneo la ushambuliaji akitumia dakika 83 na kufunga bao 1 kati ya mashuti mawili yaliyolenga.Himid Mao alitoa asisti moja ya bao katika dakika 90 alizotumia uwanjani.

