Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 tayari imeshatoka, ambapo leo Mei 5, 2026 zimebaki siku 6 tu, mashindano hayo kuanza kutimua vumbi rasmi.
Toleo la Kombe la Dunia la FIFA 2026 litafanyika kwa ushirikiano wa nchi 3, ambazo ni; Marekani (USA), Canada na Mexico.
Mechi 108 zitapigwa baina ya timu 48 zilizofuzu mashindano yam waka huu, makala hii inakuletea ratiba ya mechi zote 104 zitakazochezwa, muda zitakapochezwa na viwanja vitakavyotumika.
Zimebaki siku 6 tu, kabla filimbi ya kuashiria kuanza rasmi kwa Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026. Ikumbukwe haya ni mashindano makubwa zaidi ya soka duniani, ambayo hufanyika kila baada ya miaka 4. Mara ya mwisho mashindano ya Kombe la Dunia yalifanyika nchini Qatar mwaka 2022, mwaka huu Kombe la Dunia litafanyika kwa ushirikiano wa maandalizi ya nchi 3, ambazo ni; Marekani (USA), Canada na Mexico. Makala hii inakuletea ratiba ya mechi zote 104 zitakazochezwa katika mashindano haya, muda zitakapochezwa na viwanja vitakavyotumika.
Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.
Je, bado hujashinda pesa? Cheza aviator ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.
Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator
Kuhusu Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026
Ratiba ya mashindano
Kombe la Dunia la FIFA 2026 litakuwa toleo kubwa zaidi na la kusisimua zaidi kuwahi kufanyika, ambapo timu 48 kutoka duniani kote zikishiriki katika jumla ya mechi 104. Hapa tunakuletea ratiba kamili ya Kombe la Dunia 2026, ikijumuisha mechi zote, tarehe na viwanja vya mchezo. Ikumbukwe ratiba hii yote itafanyika na kukamilika ndani ya miji 16 kutoka nchi za Canada, Mexico na Marekani. Ikumbukwe filimbi ya mechi ya kwanza ya mashindano itakuwa tarehe 11 Juni 2026, huku Fainali ya Kombe la Dunia FIFA 2026 ikiwa tarehe 19 Julai 2026, majedwali yafuatayo yanaelezea ratiba hiyo kwa ufupi.
Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 – Hatua ya Makundi
Muhtasari wa Hatua ya Makundi
Timu na makundi yote shiriki
Kipengele
Takwimu
Jumla ya Makundi
12 (A–L)
Jumla ya Timu
48
Jumla ya Mechi za Hatua ya Makundi zilizoorodheshwa
72
Mechi ya Ufunguzi
Mexico vs Afrika Kusini (11 Juni 2026)
Mechi ya Mwisho ya Hatua ya Makundi
DR Congo vs Uzbekistan (27 Juni 2026)
Nchi Waandaaji
Marekani, Mexico na Canada
Tarehe
Mechi
Kundi
Uwanja
11 Juni
Mexico vs Afrika Kusini
A
Mexico City
11 Juni
Korea Kusini vs Czechia
A
Guadalajara
12 Juni
Canada vs Bosnia na Herzegovina
B
Toronto
12 Juni
Marekani vs Paraguay
D
Los Angeles
13 Juni
Haiti vs Scotland
C
Boston
13 Juni
Australia vs Türkiye
D
BC Place Vancouver
13 Juni
Brazil vs Morocco
C
New York New Jersey
13 Juni
Qatar vs Switzerland
B
San Francisco Bay Area
14 Juni
Côte d’Ivoire vs Ecuador
E
Philadelphia
14 Juni
Ujerumani vs Curaçao
E
Houston
14 Juni
Uholanzi vs Japan
F
Dallas
14 Juni
Sweden vs Tunisia
F
Monterrey
15 Juni
Saudi Arabia vs Cabo Verde
H
Miami
15 Juni
Hispania vs Cabo Verde
H
Atlanta
15 Juni
Iran vs New Zealand
G
Los Angeles
15 Juni
Ubelgiji vs Misri
G
Seattle
16 Juni
Ufaransa vs Senegal
I
New York New Jersey
16 Juni
Iraq vs Norway
I
Boston
16 Juni
Argentina vs Algeria
J
Kansas City
16 Juni
Austria vs Jordan
J
San Francisco Bay Area
17 Juni
Ghana vs Panama
L
Toronto
17 Juni
England vs Croatia
L
Dallas
17 Juni
Ureno vs DR Congo
K
Houston
17 Juni
Uzbekistan vs Colombia
K
Mexico City
Mechi za 18–22 Juni 2026
Tarehe
Mechi
Kundi
Uwanja
18 Juni
Czechia vs Afrika Kusini
A
Atlanta
18 Juni
Switzerland vs Bosnia na Herzegovina
B
Los Angeles
18 Juni
Canada vs Qatar
B
Vancouver
18 Juni
Mexico vs Korea Kusini
A
Guadalajara
19 Juni
Brazil vs Haiti
C
Philadelphia
19 Juni
Scotland vs Morocco
C
Boston
19 Juni
Türkiye vs Paraguay
D
San Francisco Bay Area
19 Juni
Marekani vs Australia
D
Seattle
20 Juni
Ujerumani vs Côte d’Ivoire
E
Toronto
20 Juni
Ecuador vs Curaçao
E
Kansas City
20 Juni
Uholanzi vs Sweden
F
Houston
20 Juni
Tunisia vs Japan
F
Monterrey
21 Juni
Uruguay vs Cabo Verde
H
Miami
21 Juni
Hispania vs Saudi Arabia
H
Atlanta
21 Juni
Ubelgiji vs Iran
G
Los Angeles
21 Juni
New Zealand vs Misri
G
Vancouver
22 Juni
Norway vs Senegal
I
New York New Jersey
22 Juni
Ufaransa vs Iraq
I
Philadelphia
22 Juni
Argentina vs Austria
J
Dallas
22 Juni
Jordan vs Algeria
J
San Francisco Bay Area
Mechi za 23–27 Juni 2026
Tarehe
Mechi
Kundi
Uwanja
23 Juni
England vs Ghana
L
Boston
23 Juni
Panama vs Croatia
L
Toronto
23 Juni
Ureno vs Uzbekistan
K
Houston
23 Juni
Colombia vs DR Congo
K
Guadalajara
24 Juni
Scotland vs Brazil
C
Miami
24 Juni
Morocco vs Haiti
C
Atlanta
24 Juni
Switzerland vs Canada
B
Vancouver
24 Juni
Bosnia na Herzegovina vs Qatar
B
Seattle
24 Juni
Czechia vs Mexico
A
Mexico City
24 Juni
Afrika Kusini vs Korea Kusini
A
Monterrey
25 Juni
Curaçao vs Côte d’Ivoire
E
Philadelphia
25 Juni
Ecuador vs Ujerumani
E
New York New Jersey
25 Juni
Japan vs Sweden
F
Dallas
25 Juni
Tunisia vs Uholanzi
F
Kansas City
25 Juni
Türkiye vs Marekani
D
Los Angeles
25 Juni
Paraguay vs Australia
D
San Francisco Bay Area
26 Juni
Norway vs Ufaransa
I
Boston
26 Juni
Senegal vs Iraq
I
Toronto
26 Juni
Misri vs Iran
G
Seattle
26 Juni
New Zealand vs Ubelgiji
G
Vancouver
26 Juni
Cabo Verde vs Saudi Arabia
H
Houston
26 Juni
Uruguay vs Hispania
H
Guadalajara
27 Juni
Panama vs England
L
New York New Jersey
27 Juni
Croatia vs Ghana
L
Philadelphia
27 Juni
Algeria vs Austria
J
Kansas City
27 Juni
Jordan vs Argentina
J
Dallas
27 Juni
Colombia vs Ureno
K
Miami
27 Juni
DR Congo vs Uzbekistan
K
Atlanta
Muhtasari wa Hatua ya Mtoano
Kipengele
Maelezo
Jumla ya Mechi
16
Tarehe ya Kuanza
28 Juni 2026
Tarehe ya Kumalizika
3 Julai 2026
Mechi ya Kwanza
Mechi 73
Mechi ya Mwisho
Mechi 88
Mfumo
Mshindi anaendelea hatua inayofuata, mshindwa anaondolewa
Hatua Inayofuata
16 Bora (Round of 16)
Ratiba ya Hatua ya Mtoano (Round of 32) – Kombe la Dunia 2026
Tarehe
Namba ya Mechi
Timu Zinazokutana
Uwanja
28 Juni 2026
Mechi 73
Mshindi wa pili Kundi A vs Mshindi wa pili Kundi B
Los Angeles
29 Juni 2026
Mechi 74
Mshindi wa Kundi E vs Timu ya tatu bora kutoka Kundi A, B, C, D au F
Boston
29 Juni 2026
Mechi 75
Mshindi wa Kundi F vs Mshindi wa pili Kundi C
Monterrey
29 Juni 2026
Mechi 76
Mshindi wa Kundi C vs Mshindi wa pili Kundi F
Houston
30 Juni 2026
Mechi 77
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
New York New Jersey
30 Juni 2026
Mechi 78
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
Dallas
30 Juni 2026
Mechi 79
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
Mexico City
1 Julai 2026
Mechi 80
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
Atlanta
1 Julai 2026
Mechi 81
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
San Francisco Bay
1 Julai 2026
Mechi 82
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
Seattle
2 Julai 2026
Mechi 83
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
Toronto
2 Julai 2026
Mechi 84
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
Los Angles
2 Julai 2026
Mechi 85
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
BC Place
3 Julai 2026
Mechi 86
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
Miami
3 Julai 2026
Mechi 87
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
Kansas City
3 Julai 2026
Mechi 88
Timu zitathibitishwa baada ya hatua ya makundi
Dallas
Muhtasari wa Hatua ya 16 Bora
Kipengele
Maelezo
Jumla ya Mechi
8
Jumla ya Timu
16
Tarehe ya Kuanza
4 Julai 2026
Tarehe ya Kumalizika
7 Julai 2026
Mechi ya Kwanza
Mechi 89
Mechi ya Mwisho
Mechi 96
Mfumo
Timu inayoshinda inafuzu Robo Fainali
Hatua Inayofuata
Robo Fainali
Ratiba ya Hatua ya 16 Bora – Kombe la Dunia 2026
Tarehe
Namba ya Mechi
Timu Zinazokutana
Uwanja
4 Julai 2026
Mechi 89
Mshindi wa Mechi 74 vs Mshindi wa Mechi 77
Philadelphia
4 Julai 2026
Mechi 90
Mshindi wa Mechi 73 vs Mshindi wa Mechi 75
Houston
5 Julai 2026
Mechi 91
Mshindi wa Mechi 76 vs Mshindi wa Mechi 78
New York New Jersey
5 Julai 2026
Mechi 92
Mshindi wa Mechi 79 vs Mshindi wa Mechi 80
Mexico City
6 Julai 2026
Mechi 93
Mshindi wa Mechi 83 vs Mshindi wa Mechi 84
Dallas
6 Julai 2026
Mechi 94
Mshindi wa Mechi 81 vs Mshindi wa Mechi 82
Seattle
7 Julai 2026
Mechi 95
Mshindi wa Mechi 86 vs Mshindi wa Mechi 88
Atlanta
7 Julai 2026
Mechi 96
Mshindi wa Mechi 85 vs Mshindi wa Mechi 87
Vancouver
Muhtasari wa Robo Fainali
Kipengele
Maelezo
Jumla ya Mechi
4
Jumla ya Timu
8
Tarehe ya Kuanza
9 Julai 2026
Tarehe ya Kumalizika
11 Julai 2026
Mechi ya Kwanza
Mechi 97
Mechi ya Mwisho
Mechi 100
Mfumo
Mshindi anafuzu Nusu Fainali
Hatua Inayofuata
Nusu Fainali
Ratiba ya Robo Fainali – Kombe la Dunia 2026
Tarehe
Namba ya Mechi
Timu Zinazokutana
Uwanja
9 Julai 2026
Mechi 97
Mshindi wa Mechi 89 vs Mshindi wa Mechi 90
Boston
10 Julai 2026
Mechi 98
Mshindi wa Mechi 93 vs Mshindi wa Mechi 94
Los Angeles
11 Julai 2026
Mechi 99
Mshindi wa Mechi 91 vs Mshindi wa Mechi 92
Miami
11 Julai 2026
Mechi 100
Mshindi wa Mechi 95 vs Mshindi wa Mechi 96
Kansas City
Muhtasari wa Nusu Fainali
Kipengele
Maelezo
Jumla ya Mechi
2
Jumla ya Timu
4
Tarehe ya Kuanza
14 Julai 2026
Tarehe ya Kumalizika
15 Julai 2026
Mechi ya Kwanza
Mechi 101
Mechi ya Mwisho
Mechi 102
Mfumo
Washindi wanafuzu Fainali, walioshindwa wanacheza mechi ya nafasi ya tatu
Hatua Inayofuata
Fainali
Ratiba ya Nusu Fainali – Kombe la Dunia 2026
Tarehe
Namba ya Mechi
Timu Zinazokutana
Uwanja
14 Julai 2026
Mechi 101
Mshindi wa Mechi 97 vs Mshindi wa Mechi 98
Dallas
15 Julai 2026
Mechi 102
Mshindi wa Mechi 99 vs Mshindi wa Mechi 100
Atlanta
Muhtasari wa Fainali
Kipengele
Maelezo
Jumla ya Mechi
1
Jumla ya Timu
2
Tarehe
19 Julai 2026
Namba ya Mechi
104
Uwanja
New York New Jersey
Mfumo
Mshindi anatawazwa Bingwa wa Kombe la Dunia 2026
Hatua
Fainali
Ratiba ya Fainali ya Kombe la Dunia FIFA 2026
Tarehe
Namba ya Mechi
Timu Zinazokutana
Uwanja
19 Julai 2026
Mechi 104
Mshindi wa Mechi 101 vs Mshindi wa Mechi 102
New York New Jersey
Hitimisho
Messi vs Ronaldo – credit sportskeeda
Baada ya Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 inadhihirisha wazi kuwa mashindano ya mwaka huu yatakuwa ya kihistoria. Ni wazi maboresho makubwa yamefanyika katika maeneo mbalimbali. Shauku ya wadau wengi wa soka ni kujua nani atakuwa mfalme mpya wa mashindano hayo.
Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.