AZAM vs YANGA Fainali ASFC -Hapatoshi Mkwakwani.
Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup inatarajiwa kupigwa leo Juni 12,2023 katika dimba la CCM Mkwakwani mjini Tanga, kuanzia majira ya saa tisa alasiri, ikizikutanisha mabingwa…
