Yanga SC vs Azam FC nusu fainaliOkello na Mudathir
  • Ni Azam FC vs Yanga SC kwenye nusu fainali ya CRDB Federation Cup ambayo itapigwa mnamo Juni 21, 2026.
  • Wababe hawa wawili watakutana pale Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza baada ya Azam FC kuibukia washindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashujaa FC.
  • Fuatilia matukio ya Kombe la Shirikisho la CRDB ikiwemo uchanganuzi wa mechi muhimu, matokeo, takwimu na habari za sasa kupitia SportPesa Blog.

Azam FC vs Yanga SC ni mchezo ujao kwenye hatua ya nusu fainali ya CRDB Federation Cup. Matajiri wa Dar, wametinga hatua hii kwa kuwafunga Mashujaa FC goli 1-0 mechi iliyopigwa Mei 17, 2026. Wananchi ambao ni mabingwa watetezi walikata tiketi kwa ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya JKT Tanzania. Je ni nani ataweza kumpiku mwenzake na kujitwaa kwenye fainali ya kombe la Shirikisho CRDB?

SOMA HII: Azam yawabadilishia Uwanja Yanga Sc | Na ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania imebadilika

Je, bado hujashinda mamilioni? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune pesa sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Challenge

Azam FC vs Yanga SC watachuana ana kwa ana kwenye nusu fainali ya CRDB Federation Cup

Yanga SC vs Azam FC nusu fainali
Feisal Salum kiungo mshambuliaji Azam FC.

Mchezo mkali kati ya Azam FC vs Yanga SC unatarajiwa kupigwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza Juni 21,2026. Wababe hawa wamekutana mara moja kwenye ligi na mara moja katika Muungano Cup.

Yanga SC imepata ushindi mara moja na sare moja. Mchezo ujao ni lazima mshindi kupatikana kwa kuwa ni hatua ya nusu fainali kila timu inasaka tiketi kutinga fainali.

Matokeo ya Azam FC vs Yanga SC kwenye NBC Premier League na Muungano Cup

Haya hapa ni matokeo ya hivi karibuni baina ya miamba hawa wawili wa Tanzania:

Azam FC 1-2 Yanga SC Muungano Cup.

Azam FC 0-0 Yanga SC NBC Premier League.

SOMA HII: Unbeaten 19 Azam F.C NBC Premier League | Yanga SC rekodi zinadunda

SportPesa Aviator Challenge

SOMA HII: Azam FC 0-0 Yanga SC Dar Derby/ Highlights, standings, statics

Hitimisho

Azam FC vs Yanga SC nusu fainali ya CRDB Federation Cup ni burudani nyingine inayosubiriwa kwa shauku kubwa. Mabingwa watetezi watakuwa na kibarua dhidi ya wapinzani wagumu Azam FC. Mshindi wa mchezo hatua ya fainali atakutana na mshindi wa nusu fainali ya kwanza Simba SC vs Coastal Union itakayopigwa Juni 20, 2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Fuatilia habari zote za hivi sasa kuhusu Kombe la Shirikisho la CRDB zitakazopakuliwa na vinara wa spoti, SportPesa Blog.

Share this: