- Wanakutana Simba SC vs Coastal Union nusu fainali ya CRDB Federation Cup mnamo Juni 20, 2026.
- Mchezo huu mkali unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha baada ya Simba SC kuifunga magoli 4-0 TRA United.
- Fuatilia matokeo ya Kombe la Shirikisho la CRDB, matokeo, takwimu na habari za sasa hivi kupitia SportPesa Blog
Mchezo wa nusu fainali Kombe la CRDB wanakutana Simba SC vs Coastal Union, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Matokeo ya mchezo wa mwisho ilikuwa Simba SC 2-0 Coastal Union, kwenye NBC Premier League. Kabla hawajakutana kwenye nusu fainali, wawili hawa watakutana Mei 21, 2026 Uwanja wa Mkwakwani mchezo wa ligi.
SOMA HII: Ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2025/26 ni moto | Msimamo, Mzizima Dabi, Kariakoo Dabi
Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Simba SC uso kwa uso na Coastal Union nusu fainali CRDB Federation Cup

Mchezo wa kusaka tiketi ya fainali CRDB Federation Cup ni Simba SC vs Coastal Union, utapigwa Arusha, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Juni 20 wababe hawa watakutana kwenye mtanange wa kukata na shoka. Mnyama amekutana mara moja na Coastal Union kwenye mchezo wa ligi na kupata ushindi ndani ya dakika 90.
Ndani ya msimu wa 2025/26 wababe hawa watakutana mara 3. Mechi mbili itakuwa katika NBC Premier League na mechi moja CRDB Federation Cup. Mshindi wa mchezo hatua ya nusu fainali atakutana na mshindi wa mchezo wa Azam FC vs Yanga SC.
SOMA HII: Azam FC vs Yanga SC :Nusu fainali ya CRDB Federation Cup | SportPesa Blog

Matokeo ya Simba SC vs Coastal Union NBC Premier League na ratiba ya mechi zijazo
Simba SC 2-0 Coastal Union, NBC Premier League, Aprili 2, 2026.
Coastal Union vs Simba SC, NBC Premier League, Mei 21, 2026.
Simba SC vs Coastal Union, CRDB Federation Cup, Juni 20, 2026
Hitimisho
Simba SC vs Coastal Union ni kituo kinachofuata hatua ya nusu fainali CRDB Federation Cup. Wagosi wa Kaya waliwafungashia virago Singida Black Stars robo fainali. Je nani kuvuka kiunzi hiki hatua ya nusu fainali mpaka fainali? Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa na matokeo ya hivi punde.

