Usajili wa Yanga SC orodha ya wapya 11 msimu wa 2025/26 | Rekodi, magoli na timu walizotoka
Mabingwa mara 31 wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC, Yanga SC imefikisha orodha ya wapya 11 waliotambulishwa. Ni benchi la ufundi na wachezaji ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu…
Che Malone wa Simba SC aanza kazi kwa Waarabu | Mrithi wake huyu hapa | Rekodi, magoli
Che Malone beki wa zamani wa Simba SC ameanza kazi kwa Waarabu wa Algeria. Ni USM Alger atakuwa hapo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili. Tayari Simba SC imemtambulisha…
Tovuti Bora ya Kubeti Michezo Mtandaoni na Odds za Soka Tanzania | SportPesa Tanzania Ina Odds Bora Zaidi, Ushindi Mkubwa & Jackpot Kubwa
Kiasi kidogo cha TZS 2,000 kimebadilisha maisha ya Kingsley Pascal na Magabe Matiku Marwa, ambao kila mmoja alijishindia zaidi ya TZS milioni 400 kupitia Jackpot ya SportPesa Tanzania. Ushindi huu…
Yanga SC yashusha mashine hii nyingine usiku: Tetesi, usajili Ligi Kuu ya NBC 2025/26
Uongozi wa Yanga usiku huu umemtambulisha rasmi kiungo, Mohamed Doumbia. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 amejiunga na Yanga kutokea FC Slovan Liberec ya Jamuhuri ya Czech. Staa huyo…
Tanzania vs Burkina Faso na Kenya vs DR Congo: Wenyeji waanza kwa kishindo CHAN 2024.
Timu za Taifa za Tanzania na ile ya Kenya, zimeanza kwa kishindo kampeni zao za mashindano ya (CHAN). Hii ni baada ya Tanzania kuichapa Burkina Faso kwa mabao 2-0. Huku…
Yanga SC imetambulisha wapya 10 dirisha la usajili Ecua afungua Agosti / Walioongeza mikataba/ Usajili
Yanga SC imetambulisha wapya 10 dirisha la usajli la usajili huku Ecua Elastin akifungua ukurasa Agosti Mosi. Mchezaji huyo alitambulishwa usiku ikiwa ni ingizo jipya. Saa 3:30 Wananchi walitambua kwamba…
Matokeo ya Moja kwa Moja ya Mpira wa Miguu Tanzania – Pata Matokeo ya Wakati Halisi Kwa Ufadhili wa SportPesa TZ
Mashabiki wa soka nchini Tanzania sasa wana njia rahisi ya kupata taarifa za moja kwa moja za matokeo ya mechi, kwa msaada wa SportPesa TZ. Iwe unashabikia timu za nyumbani…
Fountain Gate FC: Ngome Inayochipukia ya Soka Tanzania – Ratiba, Wachezaji na Maelezo Muhimu ya Klabu
Ikiwa inazidi kuvutia mashabiki kwa matokeo imara na kuongezeka kwa idadi ya wafuasi, soka la Tanzania linashuhudia kuibuka kwa klabu yenye matumaini makubwa. Kwa kuweka mkazo kwenye kukuza vipaji vya…
FC Barcelona: Muhtasari Kamili wa Habari za Hivi Punde, Ratiba, Matokeo, Kikosi, Takwimu, Maelezo ya Mechi na Habari za Usajili
FC Barcelona ni mojawapo ya vilabu bora zaidi vya soka duniani. Inafahamika sana kwa historia yake tajiri, wachezaji wake wa kihistoria, na idadi kubwa ya mashabiki wake. Timu hii inaendelea…
