Yanga SC kuitikisa Rwanda Pre-Season kuvaana na Rayon
Kikosi cha Yanga wikiendi hii au mwanzoni mwa wiki ijayo kinatarajiwa kuondoka nchini na kuelekea Rwanda. Timu hiyo inaenda Rwanda kwa mwaliko maalum kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa…
Yamal na Dembele watikisa listi mastaa 30 Tuzo ya Ballon d’Or 2025
Agosti 7, 2025 ilikuwa siku ya kihistoria kwa soka duniani. Hii ni baada ya listi ya mastaa 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora duniani Ballon d’Or kwa mwaka 2025 kutangazwa…
Tanzania vs Madagascar Agosti 9 2025 CHAN 2024/ Rekodi, matokeo/ Uwanja wa Mkapa
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Agosti 9 2025 inatarajiwa kucheza mchezo wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024). Utakuwa ni mchezo…
Jonathan Sowah atoa ahadi nzito Simba SC / Magoli aliyofunga / Kambi Misri kinachoendelea
Jonathan Sowah mshambuliaji mpya wa Simba SC amesema mashabiki watafurahi. Ahadi hiyo ni maalumu kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Simba SC imeweka kambi nchini Misri.…
Mauritania 0-1 Tanzania CHAN 2024 Kapombe shujaa/ Magoli, takwimu/ Robo fainali yanukia
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inanukia kufuzu hatua ya robo fainali ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024). Agosti 6 2025…
Mohamed Hussen Zimbwe Jr rasmi ni mali ya Yanga SC | Rekodi zake na timu alizocheza | Mafanikio
Mohamed Hussen Zimbwe Jr ametambulishwa Yanga SC rasmi akitokea Simba SC. Beki huyo msimu wa 2024/25 alikuwa chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Simba SC Fadlu Davids. Amesajiliwa Yanga…
Mpanzu atua kwa kishindo Misri, Simba watoa tamko zito
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu kubwa kumhusu kiungo mshambuliaji wa Simba, Ellie Mpanzu hatimaye imefikia mwisho. Hii ni baada ya uongozi wa Simba kuthibitisha rasmi kuwa staa huyo bado yupo…
Simba SC yatambulisha mbeba mikoba ya Zimbwe Jr 2025/26 Antony Mligo | Sekeseke lake la usajili
Simba SC imemtambulisha beki wa kushoto Antony Mligo aliyekuwa ndani ya Namungo FC. Beki huyo ana kibarua cha kuvaa viatu vya Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye ni beki bora wa…
Usajili wa Yanga SC orodha ya wapya 11 msimu wa 2025/26 | Rekodi, magoli na timu walizotoka
Mabingwa mara 31 wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC, Yanga SC imefikisha orodha ya wapya 11 waliotambulishwa. Ni benchi la ufundi na wachezaji ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu…
