Ratiba ya Simba SC mechi --Ratiba ya Simba SC mechi --
  • Ratiba ya Simba SC mechi 10 za kwanza kwa msimu mpya 2026/26 tayari imethibitishwa na uongozi wa timu hiyo.
  • Ratiba hiyo inaonyesha kuwa Simba SC wanatarajia kuwa na mechi 10 za moto, ikiwemo Mchezo wa Kariakoo Dabi vs Yanga SC unaotarajiwa kupigwa Oktoba 10, 2026.
  • Simba wataanza na mechi 3 za ugenini katika ratiba hiyo, ambapo Mchezo wa kwanza ni dhidi ya Mtibwa Sugar Agosti 16, 2026.
  • Makala hii inakuchambulia kwa ufupi ratiba hiyo.

Hatimaye ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2026/27, ambapo tayari kikosi cha Simba SC kimechapisha taarifa kuhusu mechi zao 10 za kwanza. Ratiba hiyo inaonyesha kuwa Simba SC wanatarajia kuwa na mechi 10 za moto, ikiwemo mchezo wa Kariakoo Dabi vs Yanga SC unaotarajiwa kupigwa Oktoba 10, 2026. Simba wataanza na mechi 3 za ugenini katika ratiba hiyo, ambapo Mchezo wa kwanza ni dhidi ya Mtibwa Sugar Agosti 16, 2026.

Kuhusu ratiba ya Simba SC mechi 10 za kwanza

Ratiba ya Simba SC mechi --
Ratiba ya Simba SC mechi 10

Kikosi cha Simba SC tayari kimeanza kambi ya kujiandaa na msimu mpya, hii ni baada ya mapumziko ya mwisho wa msimu uliopita wa 2025/26.  Msimu uliopita Simba SC walimaliza nafasi ya 2 kwenye msimamo wa Ligi Kuu NBC nyuma ya mabingwa mara 5 mfululizo Yanga SC. Hii hapa ni ratiba ya Simba SC kwa msimu mpya wa 2026/27.

KUJUA RATIBA YA MECHI ZOTE 240 ZA LIGI KUU YA NBC 2026/27, SOMA HII: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Hitimisho

Vita ya wachezaji Yanga SC vs Simba SC
Vita ya wachezaji Yanga SC vs Simba SC

Ratiba ya Simba mechi 10 za kwanza inatoa taswira kuwa timu hiyo inahitaji kuchanga karata zake vizuri, kuhakikisha haiangushi pointi mapema. Mara baada ya kuukosa ubingwa huo kwa misimu 5 mfululizo, wana kazi kubwa ya kufanya msimu huu. Je, Simba SC watavuna nini? tusubiri na kuona panapo majaaliwa ya uhai. Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

JE, NI TIMU GANI ZINAMILIKI VIWANJA VYAO KWENYE LIGI NBC? SOMA HII: Ligi Kuu Bara (NBC Premier League) | Hizi hapa timu 6 zinazomiliki viwanja vyao, matokeo ratiba

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.