- Mechi ya Spain vs Argentina fainali FIFA Kombe la Dunia 2026 imethibitishwa mara baada ya kila mmoja kupenya hatua ua nusu fainali
- Lioel Messi nahodha wa mabingwa watetezi anakwenda kukutana na kijana Lamine Yamal kwa mara ya kwanza uwanjani
- Julai 19, 2026 saa 10:00 usiku mechi hii itachezwa kusaka bingwa mpya 2026
Ni Spain vs Argentina fainali FIFA Kombe la Dunia 2026 imethibitishwa rasmi mara baada ya kila timu kushinda hatua ya nusu fainali. Julai 14,2026 walipata ushindi wa mabao 2-0 Ufarasana katika mchezo wa nusu fainali. Julai 15,2026 ni England 1-2 Argentina katika nusu fainali ya pili Kombe la Dunia. Uwanja wa New York New Jersey mchezo utachezwa saa 4:00 usiku saa za Afrika Mashariki.
Huyu alimuondoa Ronaldo: Portugal vs Spain FIFA Kombe la Dunia 2026: Mikel Merino afunga akihitimisha safari ya Cristiano Ronaldo
Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya Spain vs Argentina
Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeboreshwa na unaweza kubashiri mechi hii sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

Ni Spain vs Argentina fainali FIFA Kombe la Dunia 2026 bingwa wa dunia kupatikana
Baada ya kuanza hatua ya mtoano sasa ni Spain vs Argentina fainali FIFA Kombe la Dunia 2026. Mabingwa watetezi walikuwa hawapewi nafasi kubwa kufuzu. Hii inatokana na kuanza kuruhu bao mapema kipindi cha pili kwenye nusu fainali Uwanja wa Atlanta.
Kwenye mchezo wa fainali uliokamilika kwa ubao kusoma England 1-2 Argentina yamefungwa mabao matatu. Ni England walianza kufunga dakika ya 55 kupitia kwa Anthony Gordon. Mabao ya Argentina yamefungwa na Enzo Fernandez dakika ya 85 na Lautaro Martinez dakika ya 90+2.Mpishi wa pasi zote za mabao kwa mabingwa watetezi ni Leonel Messi.
Kwa upande wa Hispania wao waliwaondoa Ufaransa katika hatua ya nusu fainali. Mchezo huo ulichezwa Jumanne katika Uwanja wa Dallas. Mabao ya Mikel Oyarzabal dakika ya 22 kwa mkwaju wa penati na Pedro Porro dakika ya 58 yalitosha kuwapeleka katika hatua ya fainali.
Spain vs Argentina Messi na Yamal uso kwa uso

Ijue ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Kwa mara ya kwanza katika kazi yake ya mpira kijana Lamine Yamal atakutana na nahodha Lionel Messi katika mchezo mkubwa wa kimataifa. Hii inakuwa ni historia kubwa inakwenda kuandikwa. Messi amekuwa bora katika timu ya taifa ya Argentina akihusika kwenye matukio muhimu.
Wakati wakisonga fainali Messi alihusika kutengeneza pasi mbili za mabao. Rekodi hii inafanya awe mchezaji aliyetoa pasi nyingi zaidi akiwa nazo 12 mpaka sasa. Anakwenda kukutana na Lamine Yamal ambaye amekuwa kwenye ubora na timu ya Spain iliyowaondoa Ufaransa.
Yamal hatajwi kuwa mchezaji mwenye hatari lakini ana uwezo mkubwa uwanjani akirejea kwenye ubora taratibu. Kwenye FIFA 2026 Kombe la Dunia alifunga bao waliposhinda 4-0 dhidi ya Saudi Arabia hatua ya makundi. Anakutana na Messi ambaye amefunga jumla ya mabao 8 akwa ni nyota kinara kwenye ufungaji.
Sehemu ya kutazama mechi ya fainali (Where to Watch)
Ukanda wa Afrika Mashariki, unaweza kushuhudia burudani hii mubashara kupitia:-KBC Channel 1 (TBC 1 au Azam TV kwa Tanzania) – Kwa mechi za bure (Free-to-Air).
SuperSport (DStv) – Kupitia chaneli za SuperSport World Cup.
StarTimes – Kwenye chaneli zao za michezo (Sports Premium).
Sehemu ya kubashiri na dondoo za SportPesa

Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya Spain vs Argentina
Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeboreshwa na unaweza kubashiri mechi hii sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja
Hitimisho
Spain vs Argentina fainali FIFA Kombe la Dunia 2026 inakwenda kuhitimisha mbio zilianzoa katika hatua ya mtoano. Mataifa haya mawili yote ni imara katika kushambulia na kujilinda. Mabingwa watetezi Argentina wametinga hatua hii mara mbili mfululizo baada ya kufanya hivyo 2022.

