Je MAMELODI SUNDOWNS kuwafunga WYDAD ATHLETIC CLUB?
Leo ndio siku ambayo mpira wa Afrika, utashuhudia moja kati ya mechi bora kabisa za mpira wa miguu katika ngazi ya vilabu Afrika ikipigwa kule Africa Kusini kati ya Mamelodi…
Leo ndio siku ambayo mpira wa Afrika, utashuhudia moja kati ya mechi bora kabisa za mpira wa miguu katika ngazi ya vilabu Afrika ikipigwa kule Africa Kusini kati ya Mamelodi…
Timu ya mpira wa miguu ya Al Ahly Cairo, leo wanashuka uwanjani kupambana na Esperance ya Tunsia katika mechi ya marudiano ya kombe la klabu bingwa Afrika, baada ya mechi…
Klabu ya Manchester City leo usiku itashuka katika dimba la Etihad kupambana na timu ya Real Madrid, katika mchezo wa pili wa wa michuano ya Kombe la Klabu bingwa barani…
Kimbembe cha mechi ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, kitapigwa Mei 17, 2023 ambapo timu ya Marumo Gallants, watakuwa nyumbani nchini South Africa wakijaribu kupindua matokeo…
Klabu ya Polisi Tanzania leo alasiri inatimba uwanjani kupambana na timu ya Mtibwa Sugar, katika uwanja wa Ushirika Moshi, katika mechi za kumalizia msimu wa ligi kuu ya soka Tanzania,…
Nusu fainali ya kwanza ya Klabu bingwa Afrika inanguruma leo Jumamosi ya Mei 13,2023 ambapo majira ya saa 4 usiku katika uwanja wa Stade Mohammed V, mabingwa mara 3, Wydad…
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania, NBC Premier League bara inaendelea leo Ijumaa kwa mechi kati ya Simba SC dhidi ya Ruvu shooting, wakati KMC watawavaa Singida Big Stars. Mchezo wa…
Usiku wa Ulaya unaendelea leo hii kwa michezo miwili ya mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la UEFA Europa kupigwa nchini Italia baina ya Juventus VS Sevilla na As…
Patashika nguo kuchanika ya kipute cha nusu fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kinashika kasi ambapo kesho Jumatano kuanzia majira ya Saa 10 Jioni, Klabu ya Wananchi Yanga (Tanzania),…