Canada vs Qatar FIFA Kombe la Dunia 2026Larin
  • Ni Canada vs Qatar FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo wa hatua ya makundi kutoka Kundi B
  • Makala hii imekuletea utabiri wa mchezo, takwimu,kikosi kinachotarajiwa kuanza na taarifa za timu
  • Uwanja wa Uwanja wa BC Place, Vancouver saa 7:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Juni 19, 2026

Mchezo unaofuata Kundi B ni Canada vs Qatar FIFA Kombe la Dunia 2026, Juni 19. Katika mataifa matatu yaliyoandaa Kombe la Dunia ipo Canada, Marekani na Mexico. Wenyeji Canada walianza kwa sare ya 1-1 Bosnia na Herzegovina. Unakuwa mchezo wa pili utakaochezwa Vancouver.

Isome ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Canada vs Qatar, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Canada
Canada vs Qatar

 Canada vs Qatar FIFA Kombe la Dunia 2026 taarifa za timu

Canada vs Qatar FIFA Kombe la Dunia 2026
Canada vs Qatar FIFA Kombe la Dunia 2026.

Mabingwa mara 5 wa Kombe la Dunia takwimu hizi hapa: Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026: Team news, prediction, h2h

Canada
Canada vs Qatar

Canada

 Wenyeji Canada katika siku ya kwanza ya mechi. Ijumaa alfajiri watakutana na Qatar wakisaka ushindi wa kihistoria wa kwanza katika Kombe la Dunia. Wakiwa nyumbani na wakiwa Kundi B, Canada katika ushiriki wao wa tatu walionekana na wasiwasi katika mchezo wa ufunguzi Ijumaa iliyopita, ambapo walipambana kutoka nyuma na kupata sare ya 1-1 dhidi ya. Bosnia na Herzegovina. Cyle Larin alifunga bao la kusawazisha baada ya Jovo Lukic kufungua ukurasa kwa Bosnia.

Qatar

 Qatar, watawasili Vancouver wakiwa na ari baada ya sare dhidi ya Uswisi. Wapo chini ya kocha mkongwe wa Kihispania Julen Lopetegui, walipata bao la kusawazisha dakika ya 94 na kuokoa alama muhimu. Qatar wameonyesha nidhamu ya kiulinzi na mshikamano wa kikosi kinachoweza kuwasumbua wapinzani wakubwa.

Muda wa mechi ya Canada vs Qatar

 Mechi ya Canada vs Qatar itapigwa Ijumaa tarehe 19 Juni katika Uwanja wa BC Place, Vancouver, na itaanza saa 7:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki (E.A.T)

Habari za kikosi cha Canada

Kocha Jesse Marsch wa Canada wachezaji wake wote wa ushambuliaji wapo fiti akiwemo Jonathan David, Alphonso Davies, Tajon Buchanan na Cyle Larin

Habari za kikosi cha Qatar

Kocha Julen Lopetegui atakuwa na kazi ya kuchagua kikosi bora baada ya sare katika mchezo wa ufunguzi.Wachezaji wengi wa Qatar wanatoka Qatar Stars League, jambo linaloibua maswali kuhusu maandalizi yao kwa kiwango cha juu cha mashindano ya Kombe la Dunia

TimuMechi 5 zilizopitaMatokeo Muhimu
CanadaBosnia (WC): 1-1, Ireland: 1-1, Uzbekistan: 2-0, Tunisia: 0-0, Iceland: 2-2Wamekuwa wakipata sare nyingi, ushindi pekee ulikuwa dhidi ya Uzbekistan
QatarSwitzerland (WC): 1-1, El Salvador: 0-0, Ireland: 0-1, Tunisia: 0-3, Syria: 1-1Wamekuwa wakipata sare mara kwa mara, lakini walipoteza dhidi ya Ireland na Tunisia

Canada vs Qatar vikosi vinavyotarajiwa kuanza

Canada vs Qatar FIFA Kombe la Dunia 2026
Ahmed nyota wa Qatar.

Utabiri wa mchezo wa Switzerland vs Bosnia upo hapa usome: Switzerland vs Bosnia and Herzegovina prediction: Live score, lineups, vikosi, h2h, live score, odds

  • Canada: Crepeau; Johnston, De Fougerolles, Cornelius, Laryea; Buchanan, Eustaquio, Kone, Millar; Jonathan David, Cyle Larin
  • Qatar: Abunada; Al-Oui, Miguel, Khoukhi, H. Ahmed; Gaber, Laye; Junior, Madibo, Afif; Ali. Hivi sio vikosi rasmi vya mchezo. Vikosi vitatolewa saa moja kabla ya mchezo.

Historia ya mechi kati ya Canada na Qatar

Timu hizi zimekutana mara moja pekee kabla ya mashindano haya. Canada waliishinda Qatar 2-0 katika mchezo wa kirafiki huko Austria Septemba 2022, mabao yote yakifungwa kipindi cha kwanza.

Fomu ya timu (Mechi 5 zilizopita)

TimuMechi 5 zilizopitaMatokeo Muhimu
CanadaBosnia (WC): 1-1, Ireland: 1-1, Uzbekistan: 2-0, Tunisia: 0-0, Iceland: 2-2Wamekuwa wakipata sare nyingi, ushindi pekee ulikuwa dhidi ya Uzbekistan
QatarSwitzerland (WC): 1-1, El Salvador: 0-0, Ireland: 0-1, Tunisia: 0-3, Syria: 1-1Wamekuwa wakipata sare mara kwa mara, lakini walipoteza dhidi ya Ireland na Tunisia

Utabiri

Kuelekea mchezo wa Canada vs Qatar utabiri unaonyesha kuwa ushindi wa magoli 2-0 utapatikana. Mshindi ni mwenyeji Canada kutokana na uwepo wa mashabiki na uimara walionao. Haya sio matokeo rasmi ni maoni ya tahariri. Beti kwa uwajibikaji.

Jinsi ya kuangalia (How to watch) Canada vs Qatar

Mashabiki wanaweza kufuatilia Canada vs Qatar kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this: