Mexico vs South Korea FIFA Kombe la Dunia 2026Mexico vs Korea Kusini

Baada ya kushinda mechi zao za ufunguzi katika Kombe la Dunia, Mexico vs South Korea FIFA Kombe la Dunia 2026 watakutana. Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Guadalajara Juni 19,2026 wakisaka alama 3 muhimu ili kufuzu hatua inayofuata. Timu hizi zipo Kundi A zina nafasi kubwa kukata tiketi hatua inayofuata.

Updated: Mexico vs South Korea, team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia 2026.

Ratiba kamili ya FIFA Kombe la Dunia 2026 hii hapa: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Mexico vs South Korea, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Mexico
Mexico vs South Korea

Mexico vs South Korea FIFA Kombe la Dunia 2026 team news

Mexico walicheza mechi ya kwanza ya mashindano haya na kuishinda Afrika Kusini 2-0 katika mazingira ya kusisimua kwenye uwanja wa Mexico City Stadium. Wanakutana na South Korea iliyoanza kwa ushindi mchezo wake wa hatua ya makundi dhidi ya Czechia.

Mexico vs South Korea

South Korea (Korea Kusini) walikuwa nyuma dhidi ya Czechia mchezo uliochezwa Juni 12, 2026. Mwisho waligeuza matokeo kipindi cha pili na kushinda 2-1. Hivyo ni timu ambayo imeanza kwa ushindi kampeni kuwania kutwaa taji kubwa.

Taarifa Muhimu za Mechi

  • Tarehe: Juni 19, 2026
  • Saa ya kuanza: Saa 12:00 jioni kwa saa Afrika Mashariki
  • Uwanja: Estadio Guadalajara, Zapopan
  • Mwamuzi: Gustavo Tejera
WhatsApp Image ---------- at --------
Twenzetu Duniani na Odds za uhakika SportPesa

Mexico vs South Korea vikosi vinavyotarajiwa kuanza

TimuWachezajiNafasi
MexicoRaúl RangelKipa
Jesús GallardoBeki wa kushoto (LB)
Johan VásquezBeki wa kati (CB)
Edson ÁlvarezBeki wa kati (CB)
Israel ReyesBeki wa kulia (RB)
Érik LiraKiungo wa ulinzi (CDM)
Julián QuiñonesWinga wa kushoto (LW)
Álvaro FidalgoKiungo mshambuliaji (CAM)
Roberto AlvaradoKiungo mshambuliaji (CAM)
Brian GutiérrezWinga wa kulia (RW)
Raul JiménezMshambuliaji (ST)
Korea KusiniKim Seung-GyuKipa
Lee Gi-HyukBeki wa kati (CB)
Kim Min-JaeBeki wa kati (CB)
Lee Han-BeomBeki wa kati (CB)
Lee Tae-SeokBeki wa kushoto (LWB)
Paik Seung-HoKiungo wa ulinzi (CDM)
Hwang In-BeomKiungo wa ulinzi (CDM)
Seol Young-WooBeki wa kulia (RWB)
Lee Kang-InKiungo wa kati (CM)
Lee Jae-SungKiungo wa kati (CM)
Son Heung-MinMshambuliaji wa kati (CF)

Vikosi hivi sio rasmi, vikosi vitatolewa saa moja kabla ya mchezo.

Mexico vs South Korea FIFA Kombe la Dunia 2026
Mexico vs South Korea FIFA Kombe la Dunia 2026

H2H Mexico vs South Korea

MechiMatokeoMaelezo Muhimu
Jumla ya mikutano14Mexico na Korea Kusini wamekutana mara 14 katika mashindano yote
Kombe la Dunia 2018Korea Kusini 1 – 2 MexicoUshindi wa kihistoria kwa Mexico, waliendeleza rekodi bora dhidi ya Korea Kusini
Kombe la Mabara 2001Korea Kusini 2 – 1 MexicoUshindi wa kihistoria kwa Korea Kusini
Ushindi wa Korea Kusini2006Korea Kusini walipata ushindi wa kirafiki
Mechi ya hivi karibuniSept 2025Sare ya kirafiki 2 – 2

Mechi 5 za hivi karibuni Mexico vs South Korea, (Korea Kusini)

TareheMatokeoMashindano
Sept 9, 2025Mexico 2 – 2 South Korea Kirafiki
Nov 14, 2020Mexico 3 – 2 South Korea Kirafiki
Jun 23, 2018South Korea 1 – 2 MexicoKombe la Dunia
Jan 29, 2014Mexico 4 – 0 South Korea Kirafiki
Jul 26, 2012Mexico 0 – 0 South Korea Olympics

Prediction Mexico vs South Korea

Kulingana na matokeo ya mechi 5 zilizopita Mexico imekuwa katika nafasi nzuri kupata matokeo. South Korea nao wataingia uwanjani kutafuta nafasi kuting hatua inayofuata. Ni Mexico 2-1 South Korea. Lakini haya sio matokeo rasmi.

Jinsi ya kuangalia (How to watch) Mexico vs South Korea

Mashabiki wanaweza kufuatilia Mexico vs South Korea kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this: